Chumba cha mahesabu

Chumba cha mahesabu

Bellino

Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
65
Reaction score
10
Yuda apata chance ya kutembelea ahera..akiwa na mwenyeji wake anapelekwa chumba cha mahesabu. Anashangaa kuona saa zenye mshale mmoja zisizo na idadi..akauliza vp hizi saa zina maana gani..mwenyeji akajibu"hizi ndizo zinatumika kuhesab dhambi wa watu huko dunian.kila mshale unaposogea hiyo ni dhamb moja inayotendwa na mtu mwenye saa hyo.
Yuda alijitahd kwenda kuiona saa yako
Aliporudi akaulizwa kulikon akasema
Nimeikuta saa ya huyu mtu malaika wameifanya feni kwa jinsi ilivyo kasi..
 
jamani lugha chafu haziruhusiwi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom