Chumba cha kupanga

Chumba cha kupanga

amatuks

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Wadau nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni iwe self. bajeti yangu ni 150000. yeyote aliyenacho aniPM. Thanx.
 
Wasiliana na uyu jamaa Gazillionaire ni dalali kigamboni. Mimi alinitafutia nilipata wiki tu. Ni chumba sebule, choo cha ndani na jiko kwa laki 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom