MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
Waungwana Habari zenu!!!
Nahitaji Chumba Cha kupanga kiwe karibu na maeneo ya mwenge maana ndo nilipo pata kazi hukoo....Chumba kiwe kizuri tiles na gypsum ikiwezekana maana nikiingiza mchepuko ukisifie......
Mwenye nacho tuwasiliane maeneo nnayoyapenda na pale mawasiliano tower kwa nyuma au ubungo,mbezi beach pia its ok........asanten,kwa pm tunaweza fanikisha zoezi hili!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums