Chumba cha kupanga morogoro

Chumba cha kupanga morogoro

Una bonge la gari unaishi nyumba ya kupanga!!!!. Samahani mkuu, hapa Nilikuwa najaribu kukumbuka maneno ya Nay wamitego.

Mm siwajui, Ila nasikia Munyu ni madalali wanaopatikana moro, wao husaidia watu kupata makazi na viwanja. Jaribu kutafuta mawasiliano yao, madalali wanasaidia ila wanaboa kwenye gharama zao tu
 
Hahaha Nina kapaso tu

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Una bonge la gari unaishi nyumba ya kupanga!!!!. Samahani mkuu, hapa Nilikuwa najaribu kukumbuka maneno ya Nay wamitego.

Mm siwajui, Ila nasikia Munyu ni madalali wanaopatikana moro, wao husaidia watu kupata makazi na viwanja. Jaribu kutafuta mawasiliano yao, madalali wanasaidia ila wanaboa kwenye gharama zao tu
Hujawaza anaweza kuwa amehamishiwa mkoa huo kikazi!?? Maaan nyumba haihami, pia pesa ya gari ni ndogo sana dogo, ml 15 unaweza pata gari ila sio nyumba
 
Hahahaa! Sawa buana. Haya yote niliyajua ila nikaamua kuyalalia kwanza. Tupo pamoja, mbona hata siye tumejenga mahali pengine na tumepangisha na vilevile tumepanga huku tulipo kwasasa
 
Hujawaza anaweza kuwa amehamishiwa mkoa huo kikazi!?? Maaan nyumba haihami, pia pesa ya gari ni ndogo sana dogo, ml 15 unaweza pata gari ila sio nyumba

Nyumba pia unaweza kujenga kwa awamu
 
Back
Top Bottom