Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma

Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma

Cascos

New Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
0
Reaction score
198
Habarini wana jamvi,

Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege.

Pia kuna kibanda (removable) kinachohamishika kipo maeneo ya Kilimani (chinyoya) karibu ukumbi wa Kilimani, Uzunguni Dodoma nacho kinapangishwa!!

Kwa mwenye uhitaji anicheck DM au piga simu namba 0688 688 860
 
Weka hadharani boss hata mm naweza kuhitaji,pia ungetupia na picha kidogo ingekuwa safi zaidi coz nilikuwa natafuta frem maeneo hayo
 
Ungetangaza huko huko inbox usingekuja hapa,,,,unatuletea biashara halaf bei unatuambia inbox,,,utapeli utawapeleka pabaya nyie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom