Habari. Hii ni chuma unayoweza kuanikia nguo ndani au kwenye balcony kwa wanaoishi maghorofani na ukakikunja ukiwa haukitumii. Pia inawafaa wanachuo wanaoishi hostel na kamba za kuanikia nguo ni tatizo. Unaweza pia itumia kwa kupanga nguo ambazo zimeshanyooshwa kwa matumizi ya wiki..
Bei ni shilingi elfu hamsini (50,000/=) za kitanzania.
Napatikana Dar na kwa mkazi wa dar utaletewa ulipo bila malipo ya ziada na unaweza lipia mzigo ukishakufikia. Ukiihitaji nicheki kwa kupiga simu 0712312706 au whatsap. Natanguliza shukrani.