Mpiga picha alikuwa ni Mwanamke. Maana ni mwenzaoMpiga picha ni nan na alikaa sehem gan akapiga iyo picha
Ndio ukweli wenyewe mkuuMkuu mbona umechagua Vawulance 😃
Dah! Kwenye kichwa cha mada ungeandika nyoka ili nisifungue huu uzi.
Leo nitalala kwa mashaka tu.😒
Eti jamani🙆♀️Mkuu mbona umechagua Vawulance 😃
Hapo anasubiria aandae mboga kwa mapishi ya Xi'an 😃 😀 😄Mchina aki subiri pambano liishe, ili aji patie mboga😂😂
View attachment 3226313