Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple ππ€
Fanya hivi...ingia kwenye all forums kuna option ya kuwatch kila jukwaa.utakua unapata notifications za kila nyuzi mpya mda wote..wewe tu utakua unachagua ipi uchangie ipi uache...very simple
Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu.
Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.