Chukua tahadhari voda promo!


D

dionsio

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Messages
169
Likes
0
Points
0
D

dionsio

Senior Member
Joined Oct 11, 2013
169 0 0
wana jf napenda kuwa tahadharisha juu ya mchezo wa bahati na sibu ya voda promo. jamaa ki ukweli wamekua wezi. wanawapigia wa2 na kuwataarifu wameshinda pikipk, lakin cha ajabu ni mwezi mzima umeisha bila kutoka kwa zawadi hiyo. baya zaidi namba wanayokupigia, ukiwapigia wewe haipatikani. VODA HUU NI UUNGWANA KWELI?
 

Forum statistics

Threads 1,252,239
Members 482,048
Posts 29,801,456