high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,950
- 2,191
Namba za siri hatuombi huwa tunapewa tu.
Huyo anayeomba ni jambazi tupa kule
bro matola kuna jamaa alishawai kuniambia eti nikope tujenge nyumba ndo tufunge ndoa! bahati nzuri mi sikuwa nataka ndoa na yeye mi nilikuwa nae tu kupoteza muda na stress zangu kipindi nimepigwa chini!Kamata fursa twenzetu. Huyo amkabidhi na ATM card kabisa na kama ana nyumba ampe na hati akae nazo. Hayo ndio mapenzi motomoto.
mdada kapata bayport yake live mkopo ndani ya 24 hrsNamba za siri hatuombi huwa tunapewa tu.
Huyo anayeomba ni jambazi tupa kule
Namba za siri hatuombi huwa tunapewa tu.
Huyo anayeomba ni jambazi tupa kule
kuna jamaa mmoja hivi tupo naye office moja sasa jana demu wake kamwambia achukue mkopo wa milioni 20 ili wanunue gari na vitu vya ndani ila demu kamwambia amfundishe namba ya siri kwanza ili wakiingiza tu mkopo ajulishwe na demu wake kwa sababu yeye yupo bize na kazi yake
alivyoniambia mimi niliishia kucheka tu maana naona kama vile anataka kumwibia mshikaji ungekuwa ndio wewe utampa PIN Namba ya account yako kisa awe anaangalia salio kama wameeingiza wakati ni demu tu hata kwenu hawamjui na anasema usipofanya hivyo tuachane kabisa mwanaume huna shukrani tunafanya mapenzi nakupa yote kila kona wachezea lakini hutaki kunipa namba za siri za accounti zako
kama wewe utafanyaje
bro matola kuna jamaa alishawai kuniambia eti nikope tujenge nyumba ndo tufunge ndoa! bahati nzuri mi sikuwa nataka ndoa na yeye mi nilikuwa nae tu kupoteza muda na stress zangu kipindi nimepigwa chini!
kuna watu majambazi sana nilimpiga chini baada ya kumchuna vya kutosha maana alitaka kunitapeli.nikamwambia anikopeshe hela flani hivi aliponipa nikasepa ------- sana yule ..ndo maana unaonaga nipo harsh towards men .yaani kupata mtu anaekupenda bila kitu bwana .... sidhani ..ukipendwa ujue mtu kaona fursa!
mi wala sitaki kitu cha mtu bwana ..nitafight mwenyeweOne day utampata ambae hatakuuliza mshahara wako,atajenga yeye na atakupa mtaji wa biashara kisha atakuambia hiyo ni kwa ajili yako mama tu mi jukumu langu kukutunza.
MWANAKA hny hewaaa na hapo unadunduliza unchukulie mkoko mpenzio nitembelee makali.o na sijawahi kukuomba.
Hivi ningekuwa nakuambia nataka passwords,mkoko ungenipa kweli?
anapata 10,000 buku 8 anakupa anabaki na buku 2 ya nauli kutafuta zingine.Tena unabembelezwa uchukue...
hiv?i kuna raha gani kuwa na mume mwenye gari ya mkopo wa kulazimisha? mtu akatwe miaka mitano ..miaka hiyo yote hamuwezi kufanya jambo lingine la maendeleo halafu gari yenyewe inaendelea kula hela maana mafuta ..repair bado ajali yaani ...ni sawa na kujichimbia kaburi la hela zako eti.Akimbie hapo...mapenzi gani ya mashart..?..uko kuchezewa kona zote za mwili si alitaka mwenyewe na alikuwa anafurahia...
Amwambie akatafute wenye magari mbona wapo wengi tu...
Namba za siri hatuombi huwa tunapewa tu.
Huyo anayeomba ni jambazi tupa kule
Raha sana kupendwa
anapata 10,000 buku 8 anakupa anabaki na buku 2 ya nauli kutafuta zingine.
amu una raha ? huyo wako hana ndugu uniunganishe nae?Raha sana kupendwa
anapata 10,000 buku 8 anakupa anabaki na buku 2 ya nauli kutafuta zingine.
kuna jamaa mmoja hivi tupo naye office moja sasa jana demu wake kamwambia achukue mkopo wa milioni 20 ili wanunue gari na vitu vya ndani ila demu kamwambia amfundishe namba ya siri kwanza ili wakiingiza tu mkopo ajulishwe na demu wake kwa sababu yeye yupo bize na kazi yake
alivyoniambia mimi niliishia kucheka tu maana naona kama vile anataka kumwibia mshikaji ungekuwa ndio wewe utampa PIN Namba ya account yako kisa awe anaangalia salio kama wameeingiza wakati ni demu tu hata kwenu hawamjui na anasema usipofanya hivyo tuachane kabisa mwanaume huna shukrani tunafanya mapenzi nakupa yote kila kona wachezea lakini hutaki kunipa namba za siri za accounti zako
kama wewe utafanyaje
hiv?i kuna raha gani kuwa na mume mwenye gari ya mkopo wa kulazimisha? mtu akatwe miaka mitano ..miaka hiyo yote hamuwezi kufanya jambo lingine la maendeleo halafu gari yenyewe inaendelea kula hela maana mafuta ..repair bado ajali yaani ...ni sawa na kujichimbia kaburi la hela zako eti.
kama jamaa hana hela ni bora mtu akubali ukweli
maana mkopo wa gari ,nyumba ya kupanga bado watoto wasome academia wallah kuna watu wataishi nyumba za kupanga milele na milele
daaaahhhhNamba za siri hatuombi huwa tunapewa tu.
Huyo anayeomba ni jambazi tupa kule