Haya sawa...nakubaliana na weweUlayaa huwezi kuta, hata baadhi ya nchi hapa Africa.
Ukweli mchungu huo.[emoji22]Ila wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...
Dah! Ni hatari sana.
Mwanamke nae anaweza hivohivo...Ila wanaume kwenye mapenzi ni wanafki, anaweza kuchat na wewe, mpaka hata saa 8 ya usiku lakini akawa hakupendi kabisa na hana hata malengo na wewe..akakupigia mara kwa mara...ukahisi kabisa ananipenda kumbe deep down there is no, something like dat...
Dah! Ni hatari sana.
Kasema wanawake ni wanafiki kwenye urafikiMwanamke nae anaweza hivohivo...
Bisha....
Inaweza leta matatizo.....nilitaka kumlipia mhuni kwenye kibanda cha mpira akalalamika ni ushoga, akakubali kishingoupande.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] only Africa tyuuh, ulaya hawaana hii.
[emoji24][emoji24]Ukweli mchungu huo.[emoji22]
inaonekana ishawahi kutokea hiyo kitu[emoji848][emoji24][emoji24]
Hahahaha maisha ni safari ndefuinaonekana ishawahi kutokea hiyo kitu[emoji848]
Unamaanisha nini kusema hivyo...napata shauku ya kusikia zaidiHahahaha maisha ni safari ndefu
Nitumie document yake (PDF) Sijawahi kukisoma naskia watu wanakiongelea tu.Hahaha umetaja kitabu kikubwa sana...kimenisaidia sana kuelewa jinsi hizi nature zetu zilivyo...
formula ipo na sio mapenzi tu kila kitu hapa duniani kina formula yake ila binadamu tunakawaida ya kutoka kwenye utaratibu na mara nyingi tunaishia kuharibu..
Mkuu kama umesoma hicho kitabu utaelewa nini namaanisha hapa
Nakutumiaje sasa mkuuNitumie document yake (PDF) Sijawahi kukisoma naskia watu wanakiongelea tu.
Sikuwa natolea mfano wa wanaume ndyo maana sijazungumzia.Na mahusiano ya wanaume kwa wanaume, mbna hujazungumziaa??
Hata hapa tu Mzee SI Ina KB au MB chache au ni MB nyingi Sana.Nakutumiaje sasa mkuu
Wanawake Bwana Nina shangazi yangu ajawahi kubali kakosea lazima atafute wa kumtupia lawama kama kosautaskia "lakini sinilikuambiaga ukakataa" hata kama ni uwongo.Sijawahi na Wala sitowahi kuwaamini wanawake,anytime anakugeuka
Ouk, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa natolea mfano wa wanaume ndyo maana sijazungumzia.
You're welcome[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Your welcome
Post zako nyingi huwa unaweka emoj za kucheka...bila shaka una upweke huzuniOuk, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]