Chukua hii...

Mkuu kwani wewe ulishawahi kuwa mwanamke mpaka tuchukue hicho unachosema kama ushawahi kuwa tunafikiria kukuamini
 
Siku zote mwanamke akikupenda huwa anakubali chochote in short hadi kumuongoza...ukiona mwanamke anakubishia vitu hujapendwa move on tafuta mwengine.

pia sometimes ile approach yako ya kwanza kwa mwanamke ndo inaamua aishi vipi na wewe
 
Hiyo approach ya kwanza nikaingia vibaya maanake ndyo nimeharibu nabadilika ghafla nakuwa kwenye uhalisia wenyewe akileta za kuleta yupo free to go.
 
Hiyo approach ya kwanza nikaingia vibaya maanake ndyo nimeharibu nabadilika ghafla nakuwa kwenye uhalisia wenyewe akileta za kuleta yupo free to go.
Of course mwanamke siku ya kwanza unapofungua tu kinywa chako kuongea ndo anaamua huyo ni potential guy au vipi kama siku ya kwanza uliongea ujinga basi

kila utakapo kutana naye uachoongea unajazilizia kwenye ule ujinga wako wa siku ya kwanza so be carefull with your first impression.
 
yan kweli kuna gender huwa hazipendan na wanaweza ishi miaka wasiongeleshane , ila gender nyingine zinaonesha kweli hawapendan but moyon ziko powa balaa, that's unakuta mdada anasema maraf zangu wengi na wanaume ujue kuna shida hapo
 
Yeaah kwasababu Wanawake huwa wananafkiana ndo maana utakuta baadhi yao marafiki zao ni wakiume tu....lakini ni ngumu mwanaume eti awe na rafiki wa kike tu
 
Ni ajabu Sana wakati muda huo yeye anaweza akawa anaongea upuuzi lakini anaangalia unachokiongea wewe.

Itoshe kusema women are from Venus men are from Mars.

Sasa wale wanaosema hayana formula hii inaapply Kwa upande mmoja au
 
Hahaha umetaja kitabu kikubwa sana...kimenisaidia sana kuelewa jinsi hizi nature zetu zilivyo...

formula ipo na sio mapenzi tu kila kitu hapa duniani kina formula yake ila binadamu tunakawaida ya kutoka kwenye utaratibu na mara nyingi tunaishia kuharibu..

Mkuu kama umesoma hicho kitabu utaelewa nini namaanisha hapa
 
Na mahusiano ya wanaume kwa wanaume, mbna hujazungumziaa??
 
Daaaah unatema reality aseee hivi vitu ulijuwaje mkuuu yaani naviona kabisa kwa watu wanaonizunguka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]
Hahaha daah hii experience naipata sehemu mbali mbali,,,kazini, kitaa pia ata nikiwa na communicate na wanawake utakuta hawanaga kabisa tendency ya kusifiana....jaribu tu siku kuongea na mwanamke yeyote hata demu wako maybe jifanye kumzungumzia rafiki yake halafu utaona mrejesho wake..

Pia nasomaga sana vitabu mkuu vinanisaidia kujua uhalisia wetu wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…