Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Wasalam wana JF,
Wakati tunajiandaa kuwashuhudia ndugu Watanzania wenzetu hapo kesho kwenye mtifuano wa shirikisho, tuangazie wafungaji bora wa ligi yetu kwa misimu mitano iliyopita.
Hii inaonyesha ni jinsi gani dhahiri shahiri kwamba Simba ina kikosi bora kilichopelekea kupata mchezaji mwenye magoli mengi.
2017 - 2018 Emanuel Okwi (Simba SC)
2018 - 2019 Medie Kagere (Simba SC)
2019 - 2020 Medie Kagere (Simba SC)
2020 - 2021 John Bocco (Simba SC)
2021 - 2022 George Mpole (Geita Gold)
Utabiri:
2022 - 2023 Mosses Phiri