Chuki zisitafsiri siasa zetu, Bali mahitaji yetu!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,903
Kumezuka aina mpya ya siasa katika Taifa letu, siasa ambazo zinaongozwa na chuki!

Siasa za aina hii ni zao la kikundi kilichokataa kupokea matokeo halali ya uchaguzi zetu!

Ningependa Uzi huu usimame kwa kutegemea kauli kwamba ," hisia hupofusha maamuzi"

Tukiendelea kuongozwa na mihemko na kusahau mahitaji yetu, si ajabu kufika 2079 hali ikiwa haijabadilika kwa wengi wetu wakati wengine wamepiga hatua kimaendeleo!

Kinachotakiwa kutuongoza ni mahitaji yetu muhimu kama Raia na wala sio hisia na mihemko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom