Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,007
- 25,679
Chief kama umekurupuka hivi,,, sijasema kila mtu mwembamba ana chukiChukua lazima ziwepo na hauwezi kupenda au kupendwa na Kila MTU ...
Harafu Hakuna uhusiano WA kuwa mwembamba na kuwa na chuki ...
Unene Ni ugonjwa mtupu ndio maana Hakuna billionaire mnene hapa Duniani ...
Na Hakuna binadamu mwenye Akili timamu mnene ...
Nimeipenda hiiUkiwa mvivu utaanza kuwa na wivu,, ukianza kuwa na wivu utaanza kuwa na makasiriko mda wote kwa sababu WIVU +UVIVU= MAKASIRIKO.
Ukianza kuwa na Makasiriko unaanza kuwa na Roho mbaya, ukianza kuwa na roho mbaya, unaanza kuwa na roho ya kukunja, sasa hapa unakuwa umefika stage mbaya kwa sababu utakuja kuwa MCHAWI MIXER MWANGA ππ
Elimu Elimu Elimu!!!!!Na Hakuna binadamu mwenye Akili timamu mnene ..
π€£π€£ mbona kama umekwazika?Chukua lazima ziwepo na hauwezi kupenda au kupendwa na Kila MTU ...
Harafu Hakuna uhusiano WA kuwa mwembamba na kuwa na chuki ...
Unene Ni ugonjwa mtupu ndio maana Hakuna billionaire mnene hapa Duniani ...
Na Hakuna binadamu mwenye Akili timamu mnene ...
Kagongwa kichwani na nyundo ya kupasulia mawe π π π ππ€£π€£ mbona kama umekwazika?
Elimu gani unataka Mzee ,Hakuna MTU mnene mwenye Akili timamu na mbunifu ,,,watu wote wakubwa Duniani Ni wembamba .....Elimu Elimu Elimu!!!!!
Huu uchunguzi umeifanyia nchi gani mkuu????
Utakubaliana na mm kwamba kutokana na comment yako,,,, kwamba mwenye kuchukiwa ndio anaweza kufanikiwa na kusonga mbeleChuki lazima iwepo ,hapa Duniani kama wote tukipendana harafu iweje sasa ?
Chuki ndio inafanya watu kuendelea kupambana na kujituma ...
Kukataliwa au kuchukiwa na kundi la watu ndio kunafanya watu wanakuwa wabunifu katika maisha Kwa kutafuta Namna nyingine ya kuishi ...
Chuki ndio inaleta maendeleo ...
Chuki ndio inafanya Dunia inazunguka ...
Maisha Bila kuchukiana hayana maana ,Ni sawa useme tuishi hapa Duniani Bila kuwa na changamoto yeyote yaani Kila kitu kiwe poa tu ...haiwezekani kamwe [emoji23]
Umeelewa lakini ni chuki ya namna gani imezungumziwa na mtoa mada???Chuki lazima iwepo ,hapa Duniani kama wote tukipendana harafu iweje sasa ?
Chuki ndio inafanya watu kuendelea kupambana na kujituma ...
Kukataliwa au kuchukiwa na kundi la watu ndio kunafanya watu wanakuwa wabunifu katika maisha Kwa kutafuta Namna nyingine ya kuishi ...
Chuki ndio inaleta maendeleo ...
Chuki ndio inafanya Dunia inazunguka ...
Maisha Bila kuchukiana hayana maana ,Ni sawa useme tuishi hapa Duniani Bila kuwa na changamoto yeyote yaani Kila kitu kiwe poa tu ...haiwezekani kamwe [emoji23]
Sasa hapa Duniani mkipendana ili iweje Mzee[emoji23][emoji23]Ni sawa na kutaka kuishi hapa Duniani Bila matatizo yaani Kila kitu kiwe poa ...[emoji1787][emoji1787] mbona kama umekwazika?
Dah! πππππΏββοΈππΏββοΈNa Hakuna binadamu mwenye Akili timamu mnene ...
Ohooo Kwa hiyo kuna chuki aina ngapi [emoji23]Umeelewa lakini ni chuki ya namna gani imezungumziwa na mtoa mada???
Unapoint pia chuki is inevitable π€£Sasa hapa Duniani mkipendana ili iweje Mzee[emoji23][emoji23]Ni sawa na kutaka kuishi hapa Duniani Bila matatizo yaani Kila kitu kiwe poa ...
Mzee siku zote Sifu anayekukimbiza pia ....Utakubaliana na mm kwamba kutokana na comment yako,,,, kwamba mwenye kuchukiwa ndio anaweza kufanikiwa na kusonga mbele
Kwahiyo unakubaliana na mm kwamba mwenye kuchukia wengine ndio mhanga
Kwa macho ya kawaida unaona mwili kama huu ,unaweza kuwa mbunifu na kufanya vitu vikubwa mpaka taasisi ikapata faida ..[emoji23]
Kuna hiyo uliyoelezea wewe na kuna hii iliyoelezewa na mtoa mada ππ,,, kwahiyo ni mbili mkuu.Ohooo Kwa hiyo kuna chuki aina ngapi [emoji23]