Chuji Stooooop Yanga

Chuji Stooooop Yanga

Mkuu, huyo chuji inasemekana alipewa ela kenya alivykuwa na kilimanjaro stars ili aje agawe fungu kwa wachezaji wengine wa yanga.
sasa inaonekana yondani alielewa mchezo mzima ndio mana alionyesha ile ishara.

Tatizo lenu washabiki wa Yanga huwa hamuamini kwamba timu yenu inaweza kupigwa ndani ya uwanja kwa kuzidiwa uwezo, mkifungwa mtaleta visingizio vya kila namna, mara wachezaji walijiamini, mara timu ilikuwa na mgogoro au wachezaji walipokea fedha au refa alihongwa.

Kuna haja ya kuwa wanamichezo na kukubali kama timu imezidiwa na kufungwa kihalali kabisa.
 
... Kwanza, aliwakera alipocheza chini ya kiwango kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe na alipotolewa kipindi cha kwanza akaonyesha jeuri kwa kwenda moja kwa moja vyumbani...
Jamani, lile si lilikuwa bonanza tu? Yaani bonanza tu ndio limefukuzisha kocha, kocha msaidizi, kocha wa makipa, daktari wa timu na sasa mchezaji? Sasa tutaacha kushiriki mabonanza, yanatudhalilisha sana. Ila sijui ile mechi ya Al Ahly tutasemaje, au tutasema ni mechi tu ya kutusaidia maandalizi ya ligi ya Bara? Kwa kweli tukifikiria Mnyama na Waarabu, kichwa kinauma!
 
Chuji ni wakala wa simba kupitisha mshiko kwenye kambi ya Yanga..afukuzwe tuu
 
Tatizo lenu washabiki wa Yanga huwa hamuamini kwamba timu yenu inaweza kupigwa ndani ya uwanja kwa kuzidiwa uwezo, mkifungwa mtaleta visingizio vya kila namna, mara wachezaji walijiamini, mara timu ilikuwa na mgogoro au wachezaji walipokea fedha au refa alihongwa. Kuna haja ya kuwa wanamichezo na kukubali kama timu imezidiwa na kufungwa kihalali kabisa.
mkuu, kufungwa kwa timu yyte ile ni jambo la kawaida, ndio mana nmesema inasemekana alipokea hongo chuji.
kwa mpira wetu wa kibongo, inawezekana kabisa hilo kutokea.
Na kama ikithibitika ni kweli atimuliwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom