Chuji Stooooop Yanga

Chuji Stooooop Yanga

kumbe afadhari ya yanga kwenye kuchukua maamuzi magumu kuliko.....
 
Binafsi nilikuwa najiuliza sana, mara baada ya YONDANI, kupewa card nyekundu, alikuwa anatoka huku akionyesha ishara ya ela kwa mashabiki wa simba, inawezekana alkuwa anajua kuwa kuna wachezaji wamepokea hongo.
kama ni hvyo wamtimue kabisa..! watu tunapata ban kumbe za kununuliwa..timua kabisa chuji huyo!
 
Hivi timu za Tanzania zikifungwa basi inakuwa kosa lazima litafutwe nje ya utaalamu wa soka, kwanini tusikubali kuwa kuna siku mchezo unakataa tuwe na tuhuma tu mara huyu kauza mara yule anamapenzi na ile timu, tubadilike jamani
 
tafsiri ni tasfiri na mwenye uwkeli ni Yondani (yamkini hata yeye alipagawa na bangi/kipigo hakujua anafnya nn) lakn ukumbuke simba walimkosa yondani kwa dau dogo thus huenda alikua anawakumbushia kwamba fedha mbele

lakn kwa alichofanya cha kutolewa benchi na kuondoka nyumbani ni utovu wa nidhamu, ninachoshangaa ni kwanini Kavumbagu au Kiiza waliofanya kosa hilohilo hawakuadhibiwa kama CHUJI?

Ndio hapo timu zetu zinaongozwa na hisia na maneno ya uzushi kutoka kwa wanachama
 
Binafsi nilikuwa najiuliza sana, mara baada ya YONDANI, kupewa card nyekundu, alikuwa anatoka huku akionyesha ishara ya ela kwa mashabiki wa simba, inawezekana alkuwa anajua kuwa kuna wachezaji wamepokea hongo.
kama ni hvyo wamtimue kabisa..! watu tunapata ban kumbe za kununuliwa..timua kabisa chuji huyo!
Inamaana yeye alichukua pase, maana alikua akigeuzwa na Singano jinsi anavotaka. na akasababisha apewe kadi nyekundu ya makusudi.
 
Mkuu pole sana kwa ban na karibu tena.
 
Binafsi nilikuwa najiuliza sana, mara baada ya YONDANI, kupewa card nyekundu, alikuwa anatoka huku akionyesha ishara ya ela kwa mashabiki wa simba, inawezekana alkuwa anajua kuwa kuna wachezaji wamepokea hongo.
kama ni hvyo wamtimue kabisa..! watu tunapata ban kumbe za kununuliwa..timua kabisa chuji huyo!
Yamekua hayo Mwenyekiti?
 
Inamaana yeye alichukua pase, maana alikua akigeuzwa na Singano jinsi anavotaka. na akasababisha apewe kadi nyekundu ya makusudi.
kugeuzwa kwa beki uwanjani ni sehemu ya mchezo, hata wakina jaap stam walikuwa wanageuzwa.
ww unanikumbusha mechi ya starz dhid ya liberia, george weah alipigwa kanzu kama sikosei, watu wakashangilia kama goli, hvyo ni vtu vya kawaida tu.
 
tafsiri ni tasfiri na mwenye uwkeli ni Yondani (yamkini hata yeye alipagawa na bangi/kipigo hakujua anafnya nn) lakn ukumbuke simba walimkosa yondani kwa dau dogo thus huenda alikua anawakumbushia kwamba fedha mbele
Mkuu, huyo chuji inasemekana alipewa ela kenya alivykuwa na kilimanjaro stars ili aje agawe fungu kwa wachezaji wengine wa yanga.
sasa inaonekana yondani alielewa mchezo mzima ndio mana alionyesha ile ishara.
 
tupe chanzo na weka picha, any way kama ni kweli basi kazi mnayo
Mkuu, huyo chuji inasemekana alipewa ela kenya alivykuwa na kilimanjaro stars ili aje agawe fungu kwa wachezaji wengine wa yanga.
sasa inaonekana yondani alielewa mchezo mzima ndio mana alionyesha ile ishara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom