Chuji Boban na...Full Mzuka

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
majembe.jpg

Picha hii, ilipigwa wakati wachezaji hao walipowasili nchini, wakitokea Burkina Faso, kucheza mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2008.
Katika mechi hiyo, Stars ilishinda bao 1-0 ugenini, hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu lakini ilipoteza mchezo wa mwisho na Msumbiji, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kutokana na furaha ya ushindi, wachezaji hao walivua fulana na mashati, hivyo kubaki vifua wazi kisha wakazunguka na gari lililowapokea na kuwazungusha wachezaji wa Stars, Dar es Salaam.
Hata hivyo, baadaye wachezaji hao watatu, walitimuliwa baadaye, wakibainika kukutwa na vitendo vya utovu wa nidhamu.
 
iko wapi au ndio tukiingia kwenye hii thread tusi relax..!? au na yenyewe imekimbia baada ya kuogopa..?
 
majembe.jpg

Picha hii, ilipigwa wakati wachezaji hao walipowasili nchini, wakitokea Burkina Faso, kucheza mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2008.
Katika mechi hiyo, Stars ilishinda bao 1-0 ugenini, hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu lakini ilipoteza mchezo wa mwisho na Msumbiji, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kutokana na furaha ya ushindi, wachezaji hao walivua fulana na mashati, hivyo kubaki vifua wazi kisha wakazunguka na gari lililowapokea na kuwazungusha wachezaji wa Stars, Dar es Salaam.
Hata hivyo, baadaye wachezaji hao watatu, walitimuliwa baadaye, wakibainika kukutwa na vitendo vya utovu wa nidhamu.

mkuu mbona wanaonekana kama ile misukule ya kule kwa mama rwakatale..:shock:
 
Back
Top Bottom