Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chuga ni nchi nyingine nchini?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Nimepanda Hiace toka hapa banana naelekea mjini kuona mandhari abiria 1 akataka kuingia kondakta akamjibu kwa lafudhi ya Arusha "usije maana gari iko NGAA"



Nikadodosa NGAA ni nini nikaambiwa maana yake imejaa haipakizi tena
Hebu tupia misamiati mingine ya chuga tusiyoijua kwenye comments tujifunze sisi wa Dar maana wakina Miss Buza wetu wakija huku wata-shaa
FB_IMG_1586440096851.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom