Kama ni hivyo ni jambo zuri. kama umeshakamilisha taratibu za kuanzisha kikundi kama hicho, nenda hospitali kama ya Ocean road, Muhimbili, KCMC nk. kwanza ukajitambulishe kwa mkuu wa hospitali, then akiridhika atakuunganisha na madaktari wanaowatibu hao wagonjwa, then na wao watakuunganisha na wagonjwa hao na hapo utapata nafasi kuwaeleza azma yako iliyo njema. Ubarikiwe sana.