Msweet JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 3,241 Reaction score 4,446 Dec 16, 2019 #2 Mambo ya kizamani sana haya. Siku hizi tunalipia wenyewe pesa za kushona nguo kwa hao mafundi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,648 Reaction score 196,326 Dec 16, 2019 #3 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,336 Reaction score 127,017 Dec 16, 2019 #4 Fundi kawa mdogo kama piriton.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,336 Reaction score 127,017 Dec 16, 2019 #5 Na si ajabu ukute alimwambia mwenye nguo sipo ofisini halafu hakuaminika. Katika kuja kuhakikisha kama kweli fundi hayupo kamkuta na anaendelea kushona nguo za wateja wengine unadhani hapo kukunjwa kunazuilikaje.
Na si ajabu ukute alimwambia mwenye nguo sipo ofisini halafu hakuaminika. Katika kuja kuhakikisha kama kweli fundi hayupo kamkuta na anaendelea kushona nguo za wateja wengine unadhani hapo kukunjwa kunazuilikaje.
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Dec 16, 2019 Thread starter #6 Smart911 said: Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw Click to expand... Tena sanaaaaa!