tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,301
Jamani hivi huu utamu kwanini uko imbalanced namna hii?
Sasa sisi wa mikoani tutafaidikaje na hii 'national cake' jamani!?
It is not fair! Napanga maandamano ya movement for change demanding equal distribution of beautiful buttocks!
Usijitese nafsi wa mikoani tupo hapa!!!!!
Waswahili husema kizuri kula na mwenzio na mm naomba ku log in!Usijitese nafsi wa mikoani tupo hapa!!!!!
Alhamdulilahi! Nyota hii jamani!
Nipe mautam basi kuanzia kule kwa pm!
Waswahili husema kizuri kula na mwenzio na mm naomba ku log in!
Worry not vigezo na masharti kuzingatiwa.
Usijitese nafsi wa mikoani tupo hapa!!!!!
Ah hayo makalio yaliyokutana na jasho la kikwapa cha juma nature enzi hizo hayana thamani tena.
Acha washindane halag agness anawatesa na shepu hawa
huyu juma ni yule alieimba"inaniuma sana ni kifikiria huaga ninalia.....demu wangu amepima amekutwa ana ngoma...."
Au unataka ukale mzigo,kende wewe!Anajiuzia wapi niwatobye polisi?
Naona kazi yako ni kufukua makaburi tu Mkuu