Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
naona wenzanke wamevaa simply skirts na blouse, while wengine wamevaa vitenge vizuri tu kwa sana. lakini yeye pamoja na huo mkanda wake nahisi kama anaonekana kama rock-star! Labda ni mi mwenyewe tu lakini.She must have known and had a purpose to put on that dress, very confusing in deed!
Kwani yupo humu JF??Ajitokeze aseme
Kazi kweli kweli.... !!!, yaani mtu sasa hawezi kuvaa nguo bila kuogopa kwamba hii inaweza kutafsiriwa vipi na group la watu.., anyway watu tutaacha kuvaa nguo za rangi fulani, picha fulani au aina fulani kwa kuogopa watu kufikiri kitu fulani.
Nina uhakika yeye kaipendea either, mshono, rangi au appearance yake hayo mengine mnayaona nyie
nguo ni nguo..... lakini ya "MFUVU"... Kwa mwana KWAYA........! mmmmh.