Christiano Ronaldo kabanwa mbavu

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,332
3,008
Hii mechi ya Portugal Vs Iceland. Ngoma ni 1:1. C. Ronaldo hafurukuti licha ya kucheza na wachezaji wa timu pinzani iliyo na wachezaji wasio na majina makubwa sn!

Hii ina maana gani wakuu? Ndio mwisho wa msela au Game imegoma leo tu?
 
Mchezaji hajulikani ubora au upungufu wake kwa mechi mbona. Huenda mbinu alizotumia kocha hazikuwa na muelekeo mzuri kwake au wapinzani walimkamia kupita maelezo. Ronaldo Cristian hawezi kuishia mwaka huu kisoka
 
Ngoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
 
daah sijategemea ronaldo kukosa magoli ma2 ya wazi kipindi cha kwanza, sijui ana matatizo gani mechi ya tatu mfululizo plus ucl final hachezi tunavyotarajia. mechi ya leo ureno imebebwa na Nani na Andre Gomes. kwa Island, Gylfi Sirgurdsson Na Gunnarsson walikuwa kwenye ubora wa hali ya juu
 
Hii mechi ya Portugal Vs Iceland. Ngoma ni 1:1. C. Ronaldo hafurukuti licha ya kucheza na wachezaji wa timu pinzani iliyo na wachezaji wasio na majina makubwa sn!

Hii ina maana gani wakuu? Ndio mwisho wa msela au Game imegoma leo tu?

Najitahidi kuuona na kuufuatilia ubora wa huyo Christiano Ronaldo kama wengi wenu mnavyomsifia ila mpaka leo sijauona na sana sana namwona hana tofauti na Elius Maguri wa Stand United.
 
Ngoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
Ronaldo ana assist nyingi kuliko bale na benzema yeye ndio ukawa assist sana
 
Najitahidi kuuona na kuufuatilia ubora wa huyo Christiano Ronaldo kama wengi wenu mnavyomsifia ila mpaka leo sijauona na sana sana namwona hana tofauti na Elius Maguri wa Stand United.
Uwe na heshima Kwa top scorer wa muda wote uefa mpaka sasa simpendi Ronaldo ila namuheshimu kama mwanamichezo , misimu 6 mfululizo ana 30+ goal kila msimu hakuna aliyefanya hivyo na atakayefanya hivyo uweserious na ndio maana anaingiza pesa nyingi kuliko footballers wote mpaka sasa
 
Ashukuriwe aliyetunga sheria ya Penet bila hyo huenda Mmoroco angekuwa na magoli yasiyozid 150
 
Ngoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
Yep Barcelona Ni timu ndogo sana maana aliidinya goli LA ushindi pale nou camp!!!!
 
Uwe na heshima Kwa top scorer wa muda wote uefa mpaka sasa simpendi Ronaldo ila namuheshimu kama mwanamichezo , misimu 6 mfululizo ana 30+ goal kila msimu hakuna aliyefanya hivyo na atakayefanya hivyo uweserious na ndio maana anaingiza pesa nyingi kuliko footballers wote mpaka sasa

Maelezo yako bado hayajanishawishi hivyo jitahidi uongeze bidii ili nishawishike.
 
Yep Barcelona Ni timu ndogo sana maana aliidinya goli LA ushindi pale nou camp!!!!
Hiyo siyo tija sana. Goli lenywe lilikuwa la pasi amabayo hata angekuwa Mbwana Samatta angefunga.
Tunaongelea uwezo wake kimpira (usakataji kabumbu) umeshuka au kiwango kiko palepale?
 
Hii mechi ya Portugal Vs Iceland. Ngoma ni 1:1. C. Ronaldo hafurukuti licha ya kucheza na wachezaji wa timu pinzani iliyo na wachezaji wasio na majina makubwa sn!

Hii ina maana gani wakuu? Ndio mwisho wa msela au Game imegoma leo tu?
Timu ya taifa na klabu ni tofauti, kwenye klabu mnajuana zaidi kuhusu uchezaji kuliko Taifa ambayo mnakutana mara chache kutoka vilabu tofauti na uchezaji tofauti.
 
Hiyo siyo tija sana. Goli lenywe lilikuwa la pasi amabayo hata angekuwa Mbwana Samatta angefunga.
Tunaongelea uwezo wake kimpira (usakataji kabumbu) umeshuka au kiwango kiko palepale?
Yep hats lia atletico nayo Ni timu ndogo..... Hata hivyo LA liga hakuna club ambayo cr7 hajaifung.......kudadekiiii club zote katembeza vichapo.... Waulize arsenal....man utd.... Chelsea ...ac milan....inter... Bayernmunich.....
 
Kwa faida ya wengi gaynaldo alishajifia siku nyingi na msimu ujao hatafikisha hata goli 30 in all competitions
 
Timu ya taifa na klabu ni tofauti, kwenye klabu mnajuana zaidi kuhusu uchezaji kuliko Taifa ambayo mnakutana mara chache kutoka vilabu tofauti na uchezaji tofauti.
Kweli mkuu, vipi lakini kwa mtizamo wako!! Jamaa kuanzia kwenye League hadi Mechi ya jana anafulia au game ya jana iligoma tu, tungoje zingine au kiwango chake bado kipo palepale?
 
Najitahidi kuuona na kuufuatilia ubora wa huyo Christiano Ronaldo kama wengi wenu mnavyomsifia ila mpaka leo sijauona na sana sana namwona hana tofauti na Elius Maguri wa Stand United.
Huyo mzee wa kuonea vitimu vidogo vya la liga a.k.a mchezaji wa mazoezi magumu. Akikutana na wanaume hasa anafyata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom