Ni huduma za maombezi? RITA au BRELA
Nasikia ni deal sana hii kitu mkuu, hivi ni kweli? Nina mpango pia huko mbeleni niwe Mtume
Wadau, nahitaji kusajili christian ministry lakini sijui hatua na njia za kupitia kutekeleza mpango huu. Naomba kama kuna anayejua anisaidie.
msikulupuke vijanana. We unataka kufungua ministry then unatafuta msaada jf! Kama unamaanisha omba mwongozo kwa Pastor wako. Ila kama unataka pakuponea njaa endelea,na nikushauri uwatafute freemason kila kitu kitaenda smoothly.
We mbona unamkatisha tamaa mtu anae tafuta rizki!
Watu wako vibaya uraiani! Bora arudi kwa bwana huenda mambo yakawa mazuri.
Hagahagahagah! Haya mbokaleo tumwache arudi kwa bwana,ila yeye anajua atamtumikia bwana au BWANA
Wadau, nahitaji kusajili christian ministry lakini sijui hatua na njia za kupitia kutekeleza mpango huu. Naomba kama kuna anayejua anisaidie.
Siku hizi huko kumejaa ma- anti christ/christian. Kuna watu wameomba usajili wa Kanisa kwa miaka 4 sasa lakini bado hawajakubaliwa, ila kuna watu nawafahamu wameomba usajili wa Msikiti haikuwachukua hata miezi 2. Ndiyo Tanzania hii, trust me.
Wadau, nahitaji kusajili christian ministry lakini sijui hatua na njia za kupitia kutekeleza mpango huu. Naskia kuna ulaji mzuri huko. Naomba kama kuna anayejua anisaidie.
Wengi mnaanzisha hivi vitu kwa ajili ya kujitajirisha,mtu ataanzisha hii kitu hana hata baiskeli,baada ya mda mfupi anakuwa Tajiri wa kutupwa,lakini kwa waislamu ni tofauti,akianzisha hii kitu,anabaki na maisha yake yale yale toka mwanzo.Halafu katika uislamu msikiti hausajiliwi kama mali ya mtu fulani,unasajiliwa ukiwa tayari ni mali ya waumini wote,si ya mali ya mtu mmoja,kama mfanyavyo nyinyi.Siku hizi huko kumejaa ma- anti christ/christian. Kuna watu wameomba usajili wa Kanisa kwa miaka 4 sasa lakini bado hawajakubaliwa, ila kuna watu nawafahamu wameomba usajili wa Msikiti haikuwachukua hata miezi 2. Ndiyo Tanzania hii, trust me.
Tatizo makanisa yanakuwa ni miliki ya mtu binafsi,akiamua kuuza au kugeuza kwa matumizi mengine ni yeye binafsi.Hapa Tanzania yapo makanisa yamegeuzwa kwa matumizi mengine,baada ya mmiliki kukosa waumini.Lakini msikiti ukishajenga si mali yako tena,uliyejenga ni mali ya waislamu wote.Ndio ujue kwenye miskiti hakuna anti-christ!
Na kwa taarifa yako, miskiti sio lazima isajiliwe kama timu ya mpira!
Nyie hayo ma kkkkkkt yasio na hesabu huyaoni sio??
Ama kweli "wana macho lkn ni vipofu!!
Na hawa wa huku europe wanao uza makanisa yao utawaita nani!
Anti-queen!!