kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,116 May 15, 2016 #1 Ni wasanii wenye sauti na Melody nzuri ...baadhi ya nyimbo zao BANANA ZORRO 1.mama 2.Pressure 3.Nzela 4.Zoba CHRISTIAN BELLA 1.Mama 2.nakuhitaji 3.msaliti 4.nashindwa Nani zaidi??
Ni wasanii wenye sauti na Melody nzuri ...baadhi ya nyimbo zao BANANA ZORRO 1.mama 2.Pressure 3.Nzela 4.Zoba CHRISTIAN BELLA 1.Mama 2.nakuhitaji 3.msaliti 4.nashindwa Nani zaidi??
Mr.laravel JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 471 Reaction score 515 May 15, 2016 #2 Nawakubali sana wote wawili .ila bella ni mkali zaidi.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,433 May 15, 2016 #3 Au JB Mpiana na Werrason au Ferré Gola na Fally Ipupa nani zaidi?
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,175 Reaction score 2,088 May 15, 2016 #4 Bela bwana ana masauti ya hatari!
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,693 May 15, 2016 #5 Namkubali BananaZoro sana hasa ile ngoma ya MAMA yakitambo ila ni hits song na ujumbe mzur inaizd ya Bella
Namkubali BananaZoro sana hasa ile ngoma ya MAMA yakitambo ila ni hits song na ujumbe mzur inaizd ya Bella
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,651 Reaction score 860,929 May 15, 2016 #6 Banana ilikuwa zamani sasa hivi Bella anabamba
Migomba JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 945 Reaction score 1,339 May 15, 2016 #8 Bella mfananishe na wakali wenzake akina Fally ipupa, Ferre Gola, Shikito n.k
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,402 Reaction score 41,527 May 15, 2016 #9 Bella ni msanii wa kwanza wa dance anaye freestyle kwa kutumia gitaa na ndio maana bella yupo karibu sana na mpiga gitaa wake
Bella ni msanii wa kwanza wa dance anaye freestyle kwa kutumia gitaa na ndio maana bella yupo karibu sana na mpiga gitaa wake
Galore JF-Expert Member Joined Feb 14, 2015 Posts 253 Reaction score 222 May 15, 2016 #10 Bella mwanzo mwisho
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,606 Reaction score 47,083 May 15, 2016 #11 Bella ana kipaji cha hali ya juu.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 855 May 15, 2016 #12 Katika Muziki kitu wakati ni muhimu sana kukiangalia. Hao ni wasanii wa wakati tofauti. Kila mmoja ni mkali kwa wakati wake kwa muziki wa aina yake.
Katika Muziki kitu wakati ni muhimu sana kukiangalia. Hao ni wasanii wa wakati tofauti. Kila mmoja ni mkali kwa wakati wake kwa muziki wa aina yake.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,514 Reaction score 14,238 May 15, 2016 #13 Bella kipaji sana huyo
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,671 May 15, 2016 #14 Banana mfananishe na Mrisho Mpoto
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 May 15, 2016 #15 Christian bella the King Melody vocalist.. namkubali sana toka na YAKO WAPI MAPENZI
baby s JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 546 Reaction score 432 May 15, 2016 #17 Bella hatari aiseeee
IYOMBO JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 381 Reaction score 218 May 15, 2016 #19 Wote wakali sema tu wanatofautiana vipindi,kipindi cha nyuma banana alikua tishio lakini kipindi hiki ni cha bella the king of melody.
Wote wakali sema tu wanatofautiana vipindi,kipindi cha nyuma banana alikua tishio lakini kipindi hiki ni cha bella the king of melody.