::Binaadam akiona una mafanikio atakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mie najua umetoka mbali christian bella sio wote watakupenda hiiiiiii,Tenda mema usingoje shukrani cheka na watu wote Muzamil katunzi....(Ndio mmiliki wa hyo band)