""christ ammbassador ""kuzindua dvd tar 4 dec diamond jubilee karibuni wapendwa""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,907
22,057
Ile kwaya mashuhuri nchini ya rwanda inatarajia kufika dar kuja kuzindua dvd mpya
ukiwa kama mpendwa katika kristo kariu kuwapa pole na kuwapongeza kwa kutokata tamaa
kama mnakumbuka ndio walikuja dar wakati wanarudi miezi kadhaa iliopita wakapata ajali
mbaya wakapoteza watu wa nne akiwemo mtanzania aliekuwa akiwafundisha kiswahili mungu
amlinde uko alipo

ikaze iwacu
 
Back
Top Bottom