Chriss Brown, hii staili gani tena??

amekashikilia karihanna au?haka kademu kamekosa nyama siku hizi
Mkuu kamekosa au kamejikosesha nyama?
Mademu wa wenzetu uzuri maana yake ni wembamba.

Huku kwetu ni kinyume. Tena mtu akinenepa utasikia tu, aisee fulani siku hizi mambo yake mazuri...amekuwa bonge la mama.
 
kwani mkuu wewe ukiwekewa hii nyama na cameron diaz unakula ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…