INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,035
- 1,441
Axante kwa taalifa
huyu jamaa ni mkali hajawai haribu toka naanza kumsikia iiwe ameshirikishwa or ni nyimbo yake mwenyewe na katika mdundo/beat yoyotehabarini wapenzi wa muziki mzuri
aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena.. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni
Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk junk tu
Ana vipaji vingi,ana rap,anaimba hiphop, ni actor, na zaidi anajua kudance hatari
pia ana lebo yake ya mavazi inaitwa black pyramid...
Ashawahi date na warembo wakali ila nafhani kwa wengi watakuwa wanakumbuka ile na Rihanna na ile ya Karruich Tran
Sijawahi kuzichoka album zake zote tangu kaanza kuzitoa aisee kuanzia ile ya 2005 inayoitwa C.H.R.I.S B.R.O.W.N iliyokuwa na vibao vikali kama say good bye and so on
akaja kutoa album nyingne kama :
√ FORTUNE
√ FORTUNE(delux edition)
√ GRAFFITI (hii ndiyo album nayoipenda zaidi)
√ FAN OF FAN(ambayo alitoa na Tyga)
√ FAME
√ FAME DELUX EDITION
√ X
√ LOYALTY
√ HEARTBREAK IN FULL MOON
√ INDIGO (Ambayo ni mpya kwa sasa)
pia kuna single nyingi alizitoa
ngoma zake top nazozielewa ni
kiss kiss (ft T.pain)
Undecided
Sing like me
Your heart
only for me
yeah×3
fallen angel
Deuces
i wanna be
forever
Questions
party n.k
in short ana sauti ya kipekee sana .video zake hazichoshi kuzitizama..
karibu kushare ni album unaikubali au nyimbo zipi za huyu bamdogo unazielewa kinyama yaani
N:B Kwa sasa niko busy na hii INDIGO ni hatari..'bamdogo huyu anajua sana'
Huyu jamaa ni mkali hajawai haribu toka naanza kumsikia iiwe ameshirikishwa or ni nyimbo yake mwenyewe na katika mdundo/beat yoyote
NB: jamaa hata umuweke beat ya singeli anatembea na utampenda japo hajapata nafasi tu
All in all jamaa ni mkali haijawai tokea
[/QUOTE
hahaha umetisha
Namimi simkubali jason derulo japo kuna baadhi ya nyimbo kutoka kwake nazipenda ikiwemo "chayne" na "if im lucky"Mimi simkubali, namkubali Jason derulo
Nyimbo yake tu moja naipenda "Dont judge me"
Kwa mwaka huu hadi Drake amempigia salute. He is the greatest performer of this generation.Huyu jamaa ni mkali hajawai haribu toka naanza kumsikia iiwe ameshirikishwa or ni nyimbo yake mwenyewe na katika mdundo/beat yoyote
NB: jamaa hata umuweke beat ya singeli anatembea na utampenda japo hajapata nafasi tu
All in all jamaa ni mkali haijawai tokea
Mwaka juzi nyimbo ambazo zilikua top katika album yake ya heartbreak on full moon kwa upande wangu
1.PILLS AND AUTOMOBILES
2.ON ME
3.YELLOW TAPE
4.LOVE TO REMEMBER
5.HEARTBREAK ON FULL MOON
6.PRIVACY
Katika nyimbo ambazo ametoa sijazikubali ni hii ya undecided yani hii imenishinda kila nikijaribu kuizoea naiona kama mbovu
katika nyimbo ambazo zinakimbiza hivi sasa kutoka kwa breezy
1.NO GUIDANCE
2.HEAT
3.INDIGO
4.DRIPPIN
5.LURKIN
Na zingine kibao
Katika nyimbo ambazo chris brown amerap vizuri nazo zikubali zipo nyingi ila nazozikumbuka ni hizi
1.LEAVE BROKE
2.YELLOW TAPE
3.STRANGE THINGS
4.I DON'T DIE nk.
inaoneka heartbreak on the full moon unaikubali sanaMwaka juzi nyimbo ambazo zilikua top katika album yake ya heartbreak on full moon kwa upande wangu
1.PILLS AND AUTOMOBILES
2.ON ME
3.YELLOW TAPE
4.LOVE TO REMEMBER
5.HEARTBREAK ON FULL MOON
6.PRIVACY
Katika nyimbo ambazo ametoa sijazikubali ni hii ya undecided yani hii imenishinda kila nikijaribu kuizoea naiona kama mbovu
katika nyimbo ambazo zinakimbiza hivi sasa kutoka kwa breezy
1.NO GUIDANCE
2.HEAT
3.INDIGO
4.DRIPPIN
5.LURKIN
Na zingine kibao
Katika nyimbo ambazo chris brown amerap vizuri nazo zikubali zipo nyingi ila nazozikumbuka ni hizi
1.LEAVE BROKE
2.YELLOW TAPE
3.STRANGE THINGS
4.I DON'T DIE nk.
Nilipakua zip full albuminaoneka heartbreak on the full moon unaikubali sana
Mitatuu ndio slogan ya mjini, japo siifagiliisometimes bamdogo anazingua sana ila indigo nmeisikiliza sana mwezi August..
afu kingine ananiboa yale ma tattoo
Nilipakua zip full album