kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles.
Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi.
Brown amekuwa gerezani tangu Machi 14, baada ya kuvunja sheria ya mahakama kuhusiana na kesi ya kumpiga mpenzi wake wa zamani, Rihanna mwaka 2009.mia
I Like Breezy But Those Tattoes maaan.....Aint Cool...
Usije kushangaa kesho anajitangaza shoga..hao mi nshaacha kuwashabikia. Matendo yao yanaashiria mengi
Usije kushangaa kesho anajitangaza shoga..hao mi nshaacha kuwashabikia. Matendo yao yanaashiria mengi
Hapo ana nywele nyeusi kapendeza kwelii,eee huko wanajua sheria aisee huku kwetu ukiwa na pesa tu hadi raisi atakunyenyekeaa
Hana umuhimu hapa JF. Issue yake inawahusu wamarekani.
Rihanna alikuwa anaenda kumwona?
Hana umuhimu hapa JF. Issue yake inawahusu wamarekani.