"Chopa" yaigharimu chadema mamilioni; anasa hizi mpaka lini?

"Chopa" yaigharimu chadema mamilioni; anasa hizi mpaka lini?

Status
Not open for further replies.
Ishu sio chanzo cha mapato (ingawa ni kodi zetu), ishu ni hayo matumizi ya anasa yasiyokuwa ya lazima, je, wana reflect nini siku wakipata dola?
Wana "reflect" kuwa wakishika nchi watawafikia wananchi wote bila kujali gharama.
 
Mwigulu nimegundua kipele kinachokuwasha kimeva huhitaji kukunwa ila kukamuliwa,maana hayo yote hayakuhusu wewe unayeua watu halafu unajifanya una uchungu


Mbona hata wewe tunakujua ni muuaji!!angalia usivyokuwa na aibu.
 
Si wanatumia cha kwao. Au huwa wanaiibia serikali ili kugharamia hizo gharama?

wewe acha uongo hawana chao hao chadema na walifanya ivo kwakuwa walipewa vijihela na wadhamini hivyo walitaka kuwaridhisha kwa kufanya hiyo mikutano ile hali walijua maoni hayatapokelewa walitaka wapate mahali pa kula hela chezea wachaga kwa kusaka pesa wewe
hongera tume ya katiba kwa kukataa maoni maana nimeona babu slaa akitetemeka mara baada ya kurudishiwa boksi zake za maoni
 
Ishu sio chanzo cha mapato (ingawa ni kodi zetu), ishu ni hayo matumizi ya anasa yasiyokuwa ya lazima, je, wana reflect nini siku wakipata dola?
Kwani chopa ya polisi kumpeleka Ponda kule Morogoro ilitumia shilingi ngapi?
 
Cku nyingine watajifunza kufuata sheria maana maoni yamekataliwa halafu babu slaa anaishia kulalamikia tume
wazee kama hao ndio nape alisema wanasubir ku......
Hongera tume wafundisheni wenye kukaidi amri maana CDM wamezoea kukaidi kitu halali
ccm oyeeeee
 
Hata kama maoni hayajapokelewa ujue kuwa elimu ya uraia imepokelewa kwa kiasi kikubwa na wananchi. Mtaweweseka sana mwaka huu na bado. Haipiti siku bila kumtaja Slaa au CHADEMA. Pole wee
 
HAMY-D hauna jipya kabisa! Hizi mada zako na Cdm zimetuchosha! Kwenye mambo ya msingi na ya maslahi ya taifa wala hauchangii kabisa!
 
Cjakuelewa nakumbuka ulishawahi kusema chadema walipewa milioni 300 kutoka tume ya warioba na slaa hakutoa mchanganuo.
Sasa kwa hesabu zako hapo juu ni kwamba cdm wametumia nusu ya hyo pesa unapozungumzia milioni 150 tuambie tena ni kutoka cdm au tume ya warioba.
 
Estimated opetating.PNG
 
CDM hawana serikali,HAYO NI MAMBO BINAFSI YA CHAMA,gharama ya HELIKOPTA haizidi gharama za safari za nje za mwenyekiti wa ccm kutembeza bakuli
 
Uchaguzi mkuu unahitaji pesa nyingi na vyanzo vya mapato vipo wazi. Ila kwa shughuli hii ya kukusanya maoni sio vyema kutumia pesa zote hizi, hii ni anasa.
http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/2917864.jpg?624
 
Cku nyingine watajifunza kufuata sheria maana maoni yamekataliwa halafu babu slaa anaishia kulalamikia tume
wazee kama hao ndio nape alisema wanasubir ku......
Hongera tume wafundisheni wenye kukaidi amri maana CDM wamezoea kukaidi kitu halali
ccm oyeeeee

Wewe ni waajabu sana au unafikiri ccm watakuita wakupatie cheo ikiwa wengine wanafukuzwa chamani. Badilika ww ni msomi.
 
Ishu sio chanzo cha mapato (ingawa ni kodi zetu), ishu ni hayo matumizi ya anasa yasiyokuwa ya lazima, je, wana reflect nini siku wakipata dola?

Anasa nizile anazofanya JK kwenda kubembea nje ya nchi au kwenda kwenye barthday ubelgiji. CDM WAMEFANYA KAZI TUMEIONA.
 
CDM hawana serikali,HAYO NI MAMBO BINAFSI YA CHAMA,gharama ya HELIKOPTA haizidi gharama za safari za nje za mwenyekiti wa ccm kutembeza bakuli
 
Uchaguzi mkuu unahitaji pesa nyingi na vyanzo vya mapato vipo wazi. Ila kwa shughuli hii ya kukusanya maoni sio vyema kutumia pesa zote hizi, hii ni anasa.

Katiba mpya n uchaguzi kipi muhimu kwa unavyoona wewe?
 
Hamy-D
Huu ni upuuzi. Huhitaji kwenda kwa Mamlaka ya Anga kujua gharama ya Chopa. Gharama ya kukodi chopper, hata mtoto mdogo anajua ni mkataba Kati ya Kampuni ya Ndege/Chopper na Mteja wao. mkataba huo unawahusu nini mamlaka ya Ndege. Mamlaka ya ndege inahusika na usher, gharama ya kuingiza ndege nchini, Landing Parking Fees, na gharama nyingine ndogo ndogo. Ungeniuliza jumla ya gharama hizo ningelikupa bila kwenda mamlaka kwa kuwa gharama zote zimelipwa kwa mamlaka husika kwa utaratibu wa Mamlaka.

Aidha kwenye Press Conference niliyofanya siku ya Ijumaa, nilitaja gharama zilizotumika kukusanya maoni ya Watanzania 3,462,805. Niliwataka CCM waliosema wamekusanya maoni toka watu 2,600,000 kutoka mabaraza 18,000 watangaze hadharani gharama zao. Za kwetu tayari tuliisha kuziweka hadharani huhitaji kuwa "mganga wa kienyeji", wakati ziko hadharani, na anayetaka kkuja kukagua anakaribishwa.

Sasa kwa kuwa una huruma sana na fedha za walipa kodi, fanya bidii hiyo hiyo ili CCM nao waweke gharama zao za kuzunguka nchi nzima kwa magari au njia yeyote walizotumia nazo ziwekwe hadharani kwa Watanzania kuzijua.
 
Mbona unasema uongo kama huna akili nzuri! Ati tume imekataa kupokea maoni ya Chadema? shame on you son of a devil!
mkuu naona mnashabikia kukataliwa kwa maoni bila kuwa na taarifa kamili. Kilichokataliwa na tume sio maoni ni ushahidi wa maoni ya wananchi. Maoni yalipokelewa kwenye vitabu viwili vya randama ambavyo vilitokana na hayo maoni yaliyokuwa kwenye mabox, ndio maana dr. slaa kawaambia wasaini na kupiga mhuri kwamba wamepokea. Chezea chadema wewe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom