Chopa na gwajima

Chopa na gwajima

dinaman

Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
12
Reaction score
12
N wish ningefika eneo la tukio maana nasikia kitu kimeshatua viwanjani, hakika siku hizi hapana uzemb kwenye kazi ya Mungu, songa mbeleeeeee
 
N wish ningefika eneo la tukio maana nasikia kitu kimeshatua viwanjani, hakika siku hizi hapana uzemb kwenye kazi ya Mungu, songa mbeleeeeee

Fanya upae. Mh. Lowassa anafika punde. Helicopter imeshatua. kweli Gwajima katisha! Mungu azidi kumuinua.......
 
Gwajima usisikie kelele za Mbwa akibweka maana haimaanishi kauma. Songa Mbele ongeza na ingine. Hongera sana Gwajima
 
Back
Top Bottom