Chopa hii ilitengenezwa lini?

Chopa hii ilitengenezwa lini?

ajali kama hizi sio za mara kwa mara lakini inaonekana ni tishio kwa sababu kuna mkubwa kafa, ila hizi za barabarani zinazotokea kila siku na kuua mamia ya watu ni za kawaida tu!!!!

Tumekuwa na upumbavu wa kuchukulia poa ajali na kanuni za usalama katika usafirishaji.

Hebu fikiria roli moja kati ya yale yanayobeba mamia ya watu kwenye kampeni likipata ajali, tutapotez maisha ya wangapi??
Nani alaumiwe?
Nani abebe dhamana?
Ni masomo machungu lakini tumefumba macho na kuziba masikio!!
 
Hii chpoa hutumiwa na viongozi wa Chadema mara nyingi hata lowassa alishawahi kuitumia.

Kwahiyo ilikuwa sawa tu kudondoka na mzalendo Deo!?
Au Hoja yako ni nini jingalao?
Usiweke akili zako mfukoni kwa mihemko na maslahi ya kisiasa!
 
Last edited by a moderator:
Hii chpoa hutumiwa na viongozi wa Chadema mara nyingi hata lowassa alishawahi kuitumia.

Hivi mods kwa nini msilipige ban hili jingalao? Huwa linapost ujinga sana humu!!
 
Naanza kuogopa chopa zilizobandikwa na kupambwa na mashuka ya ccm na jina la Malock
 
Hii chopa ilitengenezwa mwaka 1972 mwezi wa tatu, sawa na kuzaliwa kwa marehemu, vyote vimekufa , poleni wafiwa, tumepoteza kivaa.
 
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?

Mamlaka ya Anga ituambie.
Kwa Nn Hamuhoji Kabla??? Ni Watu Wa Kusubil Maafa Ndipo Muanze Kuhoji!!! Hii Mbaya Pia.
 
Yafaa uchunguzi wa kina ufanyike, ukweli ujulikane. Ili tujifunze kwa siku ingine isije tokea.
 
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?

Mamlaka ya Anga ituambie.

Ndio maana mzee wa push ups aligomea chopa hizi. Alijua amezungukwa na wapiga dili tu.

Rejea rada, meli ya bagamoyo, mabehewa, ndege ya rais n.k

CCM CHALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Ccm hawa thamini uhai wao ni watu wa kupiga deal tu ndomana wanauwana wenyewe kwa wenyewe tu
 
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?

Mamlaka ya Anga ituambie.

Gear (Gia) ilikataa kubadilishwa angani.
 
Back
Top Bottom