Chopa hii ilitengenezwa lini?

Chopa hii ilitengenezwa lini?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,199
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?

Mamlaka ya Anga ituambie.
 
ccm wana majibu mazuri kwa hili
 
Hata waliokuwemo wakati inaanguka naona Changonja hakujua ni kina nani. Sasa watajua imetengenezwa lini?
 
Makamba alikodi hiyo ndege kama unavyojua wazee wa business as usual tayari kajamaa kamepiga dili
 
hii chopa ndiyo ile ile iliyo waangusha mawaziri wakati wanatembelea wahanga wa mafuriko dar. na ndiyo hii hii iliyomwangusha bosi mmoja huku kiongozi wa jeshi akijisifu kwa kuruka huku boss wake akimwacha ndani ya helicopta
 
Watanzania tuache ushabiki wa kipuuzi kwa maelezp ya makamba jana hiyo chopa haikukodishwa na chama alikodi marehemu mwenyewe. Chama hakihusiki
 
Makamba alikodi hiyo ndege kama unavyojua wazee wa business as usual tayari kajamaa kamepiga dili
Hii chpoa hutumiwa na viongozi wa Chadema mara nyingi hata lowassa alishawahi kuitumia.
 
Hii chopa ilikuwa kimeo kabla haijaanza kuruka
 
ajali kama hizi sio za mara kwa mara lakini inaonekana ni tishio kwa sababu kuna mkubwa kafa, ila hizi za barabarani zinazotokea kila siku na kuua mamia ya watu ni za kawaida tu!!!!
 
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?

Mamlaka ya Anga ituambie.

Kaulize Lumumba, unatuuliza ss, ngoja machozi yetu ya poe kwanza.
 
hii chopa ndiyo ile ile iliyo waangusha mawaziri wakati wanatembelea wahanga wa mafuriko dar. na ndiyo hii hii iliyomwangusha bosi mmoja huku kiongozi wa jeshi akijisifu kwa kuruka huku boss wake akimwacha ndani ya helicopta

Yaani kwa kweli, kama ni hivi hii haikubaliki.
Kibali cha usalama wa anga kimeendeleaje kuwepo kwenye chombo chenye majanga hivi???
Hapana kwa kweli.
This is beyond imagination
 
Back
Top Bottom