Chopa anayotumia Lowassa

Chopa anayotumia Lowassa

halaaaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
305
Reaction score
74
Chopa zilizuiliwa na mamlaka ya anga kwa usalama, je? chopa anayotumia lowasa ni yake au kakodi umoja wa mataifa, anayejua atujuze
 
Shida i wapi? Kukatazwa? Lowassa ni taasisi ndani ya nchi hii wewe dogo, shtuka! rrrrhhhhh............!!!!!
 
Ukifuatilia mijadala ya wafuasi wa lowasa na udhaifu hoja wanazotoa, utagundua wamekumbwa tu rapsharapsha..! Natamani angekuwepo Nyerere akapiga kura ya VETO, kama alivyofanya wakati 80% ya watanzania walipokataa vyama vingi.
 
wafuasi wengi wa lowasa wako kama wamepagawa bila kuwa na vision ya kiongozi ambaye tunamhitaji kama taifa kwa sasa:bange:
 
Nani alikatazwa,lini?,,wapi na nani alikataza.ulisoma na kuelewa lile tangazo vizuri
 
Chopa zilizuiliwa na mamlaka ya anga kwa usalama, je? chopa anayotumia lowasa ni yake au kakodi umoja wa mataifa, anayejua atujuze
Wewe umejua kuna umoja wa mataifa umeshindwaje kujua kazi za umoja huyo? Eti chopa imekodiwa umoja wa mataifa? Nafikiri wapiga kura watahiniwe kwanza kabla hawajaruhusiwa kupiga kura.
 
Ukifuatilia mijadala ya wafuasi wa lowasa na udhaifu hoja wanazotoa, utagundua wamekumbwa tu rapsharapsha..! Natamani angekuwepo Nyerere akapiga kura ya VETO, kama alivyofanya wakati 80% ya watanzania walipokataa vyama vingi.
Hivi Nyerere angekuwepo, hawa watorosha twiga,wauzamadawa ya kulevya, wauza pembe za ndovu na wezi wa escrow angewavumilia kweli?
 
Ukifuatilia mijadala ya wafuasi wa lowasa na udhaifu hoja wanazotoa, utagundua wamekumbwa tu rapsharapsha..! Natamani angekuwepo Nyerere akapiga kura ya VETO, kama alivyofanya wakati 80% ya watanzania walipokataa vyama vingi.

Toa ujinga wako hapa,huu mwaka hata iweje ccm hampati kitu kabisa,mnajifanya mapunguani hamuoni,mikutano yote ya ccm mkiuliza watu rais ni nani? Wanawajibu ni Lowassa bado tu hamshtuki kwa jinsi mlivyo wajinga,eti unajiita John F.Kennedy usichafue jina safi,tajiri na lenye hekima na busara wakati wewe ni kiazi tu,huna hata akili unajifananisha na mtu aliyepata kuwa rais wa taifa kubwa,unadhani wamarekani wangekuwa wajinga kama wanachama wa ccm wangekuwa hapo walipo? Wapo hapo kwa kuwa serikali zao zote ktk awamu zote hawakuwa mafisadi kama ccm,mwaka huu hamchomoki kabisa,na mkiua The Hague inawasubiri kwa hamu mkanyee ndoo washenzi nyie,siri zote hadharani wananchi hawawataki kabisa na mmepanga kushinda kwa nguvu hata ikibidi kuua,TUKUTANE OCT 25.
 
Chopa zilizuiliwa na mamlaka ya anga kwa usalama, je? chopa anayotumia lowasa ni yake au kakodi umoja wa mataifa, anayejua atujuze

Mkùu...hiyo chopa ni ile aliyopewa mshenga imebadilishwa rangi kwa ajili ya matumizi maalumu ya kampeni...
 
Attachments

  • 1441624539208.jpg
    1441624539208.jpg
    51.3 KB · Views: 393
Wewe umejua kuna umoja wa mataifa umeshindwaje kujua kazi za umoja huyo? Eti chopa imekodiwa umoja wa mataifa? Nafikiri wapiga kura watahiniwe kwanza kabla hawajaruhusiwa kupiga kura.

Exactly maana kwenye vyama vyote nyumbu ndio mtaji wa wanasiasa.
 
wafuasi wengi wa lowasa wako kama wamepagawa bila kuwa na vision ya kiongozi ambaye tunamhitaji kama taifa kwa sasa:bange:

Unaongea nini wewe?! Katiba yetu iko wapi, kumbe upo myopic, ccm haijaanza leo kuharibu. Haya ni mapenzi ya nchi, Lowassa ni symbol tuu,
 
Back
Top Bottom