Huwa inatokea applicant anachaguliwa zaidi ya chuo kimoja.Mwisho wa siku TCU hutoa orodha ya applicants hao na wao wanatakiwa waachague moja kati ya vyuo hivyo.Hii huwa inatokea sana hususan kama applicant alishafanya yake ya kuapply directly kwenye vyuo visivyotumia Central Admission System kama vile MU ya Morogoro