Choose wisely

1 or 2
 

Attachments

  • 1413792548903.jpg
    53.8 KB · Views: 180
  • 1413792576216.jpg
    87.2 KB · Views: 173
kitu yutong,kitu marcopollo,nijichoshe kwanini kukaa kwenye hayo madebe?nisijepata tetenus na ebola bure
 
hata sijui kama kuna bora hapo... labda tuwape wajaribu
 
Kuelekea uchaguzi 2015
Aisee hiyo Leyland ya mwaka 1977 lazima seat zake zitakuwa na kunguni.
Sipakii ng'o, wacha ntembee kwa mguu ntafika tu! Mbona davido livingstone
alitembea kuanzia bagamoyo akafika kigoma?
 
Wanasiasa wote wanafanana tu waongo hata awe nani itakuwa yale yale na pengine jahazi litazidi kudidimia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…