Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano alikua na kawaida yakucheza ndan ya ua nyumba yao na kila mara alikua akifuatilia nyenzo za mama yake hasa pale mama yake alipokua amebeba kopo lenye maji na kuelea choöni baada ya muda mama yake alitoka akiwa amebeba lile kopo lakini likiwa halina maji. Yvlf mtoto akimuuliza mama yake mtoto: mama naomba kuuliza? Mama: wewe nawe unataka kuuliza nini tena? Haya uliza mtoto:et mama huwa m nasikia kiu mnapoingia choon? Mama: hapana mwanangu kwa nini unauliza hiv? Mtoto:nikwakua nimeona wa2 wengi wakiingia chooni wanakua wamebeba makopo ya maji hivyo nikajua wakiwa choon wanasika kiu na kuyanywa hayo maji mama: alishindwa kujibu na kubaki kushangaa
Siku moja na yeye atachukua hilohilo kopo na kuingia nalo huko na kunywea maji hukohuko, yaani mpaka miaka 5, anashangaa watu kuingia na maji chooni wakati ndio mazingira anayoishi, kwani yeye hatawadhwi au ana kopo lake spesho?