Choo Cha walimu, Halmashauri ya Mji Masasi

Lazia Sultan

Senior Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
120
Reaction score
329
Wanafunzi wakijenga choo Cha walimu baada ya likizo ndefu ya korona huko Masasi mjini.
 

Attachments

  • IMG_20200630_091115.jpeg
    148.2 KB · Views: 9
Halafu Magu ametweet kukupongezeni watz kwa kufanikiwa kuingia uchumi wa kati 2020 badala ya 2025 iliyokuwa imelengwa.

Source: ITV

Maendeleo yana vyama!
 
Alafu tukiambiwa uchawi upo kuna watu wanakataa kata kata!
 
Mbona sasa wamekizuia na hayo makuti, hakionekani
 
Si ajabu. Hata sisi tulipokuwa msingi tumejenga sana vya hivyo. Hasa bafu na za wanafunzi pia.
 
Maajabu ya uchumi wa Kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…