Chondechonde wanawake wenzangu!

Chondechonde wanawake wenzangu!

Hahahahahaaa you can emagine umekutana na mtu halafu anakimbilia kutoa mkono kukusabahi huku katoka kujichokonoa kipwinto halafu ukute kulikuwa na kimanda kimegandia.

Mie sio tuu nachukia hand shake ila pia sipendi ile tabia ya mtu kutaka kuonja chakula changu with his/her bare hand..... hasa wa maofisini. I don't trust anyone. Niko hivo.

Kasie.
Saa nyingine mind set inatokana na mambo unayofanyaga mwenyewe ukiwa peke ako, unahisi na wao hufanya hivyo
 
Sister kama wewe ni flat screen soko lako nina hakika linasuasua sana.kalio ndo kiburudisho cha marijali wengi bana.
Mie soko la nini....... Kwani nauza nini mpaka niwe na wateja wa kutosha? Mie nina mmoja tu gentlemen wa nguvu anayeielewa figure yangu.
 
Mie soko la nini....... Kwani nauza nini mpaka niwe na wateja wa kutosha? Mie nina mmoja tu gentlemen wa nguvu anayeielewa figure yangu.
Jamaa ana moyo sana kuwa na flat screen.unajua jamaa amebaini ukiwa na demu flat screen basi upo peke yako maana hakuna marijali wanaohangaika nao.jamaa hataki stress kabisa ya kuibiwa.
 
Jamaa ana moyo sana kuwa na flat screen.unajua jamaa amebaini ukiwa na demu flat screen basi upo peke yako maana hakuna marijali wanaohangaika nao.jamaa hataki stress kabisa ya kuibiwa.
Lazma awe peke yake mana hata alivyoumba binadamu wa kwanza alikuwa eva na adam peke yao......uliona adam aliletewa wanaume wengine ili apate competition kwa eva.?
 
unaonaje leo nikuvukishe bahari uje kushangaa daraja la Kigamboni (Ibra87 Bridge)
Ah sasa hivi wanaovuka daraja wengi acha kwanza watu walizoeee ndipo nami nije......
 
Lazma awe peke yake mana hata alivyoumba binadamu wa kwanza alikuwa eva na adam peke yao......uliona adam aliletewa wanaume wengine ili apate competition kwa eva.?
Endelea kujitetea na hoja za kiimaani ila ukweli unao moyoni.
 
Endelea kujitetea na hoja za kiimaani ila ukweli unao moyoni.
Wewe endelea kujidanganya na tamaa za mwili na anasa za dunia hii.... .imani yangu ni ya msingi sana na ndiyo inayonisaidia katika maisha yangu ya kila siku.....
 
Back
Top Bottom