Chondechonde viongozi wa Dini!

Chondechonde viongozi wa Dini!

Joined
Feb 2, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Viongozi wetu wa Dini zote ninawasii sana kwenda taratibu na wanasiasa.Wachumia tumbo hawa wanaweza ahidi chochote wakati wanataka kura,lakini utekelezaji wake ukawa hadithi au hata ukaleta madhara kwa jamii nzima ya Tanzania!Ndugu zangu waislamu mahakama yenu mtaipata kwa njia kuuwelewesha umma wa watanzania wote bila kujali dini,kabila wala cheo cha kisiasa!Wakristu kama baadhi ya waislamu wanatafsiri tofauti sana na dhana halisi ya hiyo mahakama kwa mfano:wanasema itaruhusu watu kukatwa mikono,kupigwa mawe hadi kufa na mambo mengine ya hovyo wala haqazungumzii faida zake.Mimi nionavyo tumieni muda mwingi kuzungumza na umma acheni wanasiasa watumwe na umma kuianzisha na mtafanikiwa kirahisi mno.Kwasasa mtaleta mashindano ya kiimani kwani wakristu watawatisha wanasiasa na kura sijui itakuaje maana wachumia tumbo watagawanyika tu!!!Ni ushauri tu wakubwa.
 
Mahakama ya kadhi kuletwa kwa njia ya mswada badala ya kuwekwa kwenye katiba ni njia ya ccm kutongozea kura za waislamu kwa uchaguzi wa mwaka huu, ingawa ni 'tongozo' hatari sana kwa umoja, amani na mshikamano wa taifa letu.
 
Ccm walituahidi mwaka 2005 ,mwaka 2010 ikawa kwenye ilani ya ccm sasa hivi tatubali lazima ccm watimize ahadi waliyotuahidi mwaka 2010
 
Tatizo sio mahakama ya kadhi, tatizo ni mahakama kutaka kuambatanishwa na taifa lisilo na dini! Kwa nini mahakama hiyo isiwe ndani ya uislamu na waislamu mpaka iwe ndani ya utanzania na watanzania?
 
mkuu una uhakika taifa hili halina dini? Mbona kwenye dokumenti za serikali wafanyakazi wa umma wanaambiwa wajaze dini zao? Kama nchi haina dini, dini ya mfanyakazi kwa nini ijazwe kwenye dokumenti za serikali? Kama taifa kuna sehemu tunajichanganya kuhusu mambo haya ya dini.
 
Huna akili bora ukae kimya
 
Naam kwa hoja yako taja dini ya taifa hili Tanzania!!?
 
mkuu una uhakika taifa hili halina dini? Mbona kwenye dokumenti za serikali wafanyakazi wa umma wanaambiwa wajaze dini zao? Kama nchi haina dini, dini ya mfanyakazi kwa nini ijazwe kwenye dokumenti za serikali? Kama taifa kuna sehemu tunajichanganya kuhusu mambo haya ya dini.

Unajishushia heshima ujue,
SOMA HAPA CHINI KWA SAUTI.

"serikali haina dini, watu wake wana dini"
Ina maana serikali inaabudu "KODI" pekee, haitoi sadaka wala fungu la kumi kwa mungu yoyote mnaemfahamu na kamwe haiwezi kufanya hivyo mafichoni.

Kadhi na waislamu sawasawa manake wanakutania msikitini na wanapaswa kumaliza mambo yao hukohuko msikitini, lakini kadhi na watanzania siyo sawa manake kuna watanzania kwa imani zao za kidini hawa kina kadhi ni aina ya shetani,
Sasa hii hatari ya kumkumbatia shetani (kwa mujibu wa wenye mrengo huo) hamuioniiiii au mnataka kukigeuza choo kuwa msikiti.
 
mkuu una uhakika taifa hili halina dini? Mbona kwenye dokumenti za serikali wafanyakazi wa umma wanaambiwa wajaze dini zao? Kama nchi haina dini, dini ya mfanyakazi kwa nini ijazwe kwenye dokumenti za serikali? Kama taifa kuna sehemu tunajichanganya kuhusu mambo haya ya dini.

Tanzania haina dini ila watu wake ndio wanadini! Wakristo, Waislamu, Wapagani, Wabudha wote hawa unaweza kuwaweka kwenye group moja kama ambavyo mnataka kutulazimisha nyinyi!? Mnatuchinjia kitoweo tumekubali kushiriki ibada yenu hiyo ya kuelekea kibra, bado tu mnataka kutupanda kichwani kwa kusilimisha kila kitu!?
 
Waislam wanataka wtuharibie nchi angalia kama Zanzibar wakristo wapo lakini hakuna waziri mkristo,wala makamu Wa rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania toka Zanzibar akateuliwa mkristo wakati wakristo wapo huko, ni wabaguzi, wabaguzi, mpka kwenye kuchinja. Wakristo kaeni chonjo mkilemaa hawa jamaa ni hatari kupitia ccm Yao watatunyonga adharani , kama wakristu walioko Zanzibar hat kula adharani siku wamefunga iddi Yao ni kosa je wakiwa mahakama kadhi huku itakuwaje???
 
Mkuu Mbona unatoa maneno ya ajabu ajabu bila kufikiri?

Zanzibar wakristo hawafiki hata 1% ! Sasa unategemea Ktk hio less than 1% apatikane Rais? Au makamu wa Rais?
Mbona ushabiki mwingine unazidisha chuki tu?

Na huku Bara waislamu si chini ya asilimia 58% takwimu kaulize wizarani.

Sasa haya maneno yako ya kusema Waislamu wabaguzi hivi umetumia vigezo vipi hapa? Au basi tu ndio zile chuki zisizo na tija?

Acha chuki za kitoto utaathirika mwenyewe.
 
Ili kuondoa migongano baina ya wakristo na waislamu ni kazi ni ndogo tu. Waislamu wapewe hiyo mahakama ya kadhi; tena wapewe na ruzuku ya kuziendesha hizo mahakama zao.

Lakini kwa upande mwingine, serikali itimize jambo hili kwa wakristo na madhehebu mengine: Madhehebu yote ya dini yanayotoa huduma za jamii hapa nchini kama mahospitali, vituo vya afya, dispensaries na hata mashule, nao wapewe ruzuku ya kuendesha huduma hizo za jamii.

Iwapo Mahakama ya kadhi ni huduma ya jamii, afya na elimu ni huduma ya jamii vilevile. Hii itasaidia kumaliza mvutano uliopo kati ya wakristo na waislamu juu ya matumizi ya kodi za wananchi.
 
Mkuu Mbona unatoa maneno ya ajabu ajabu bila kufikiri?

Zanzibar wakristo hawafiki hata 1% ! Sasa unategemea Ktk hio less than 1% apatikane Rais? Au makamu wa Rais?
Mbona ushabiki mwingine unazidisha chuki tu?

Na huku Bara waislamu si chini ya asilimia 58% takwimu kaulize wizarani.

Sasa haya maneno yako ya kusema Waislamu wabaguzi hivi umetumia vigezo vipi hapa? Au basi tu ndio zile chuki zisizo na tija?

Acha chuki za kitoto utaathirika mwenyewe.

Kwahiyo wakiwa chini ya asilimia moja ndio wasiteuliwe kwenye katiba kuna kitu kama icho??
 
Suala sio kupewa nafasi ya kuteuliwa. Hapa ni suala la uwezekano wa hio asilimia 0.6% kuweza kutoa mgombea mwenye sifa zote.

Ukifikiri kidogo tu utaona kuwa uwezekano huo ni 0.0001%.
 
Mkuu Mbona unatoa maneno ya ajabu ajabu bila kufikiri?

Zanzibar wakristo hawafiki hata 1% ! Sasa unategemea Ktk hio less than 1% apatikane Rais? Au makamu wa Rais?
Mbona ushabiki mwingine unazidisha chuki tu?

Na huku Bara waislamu si chini ya asilimia 58% takwimu kaulize wizarani.

Sasa haya maneno yako ya kusema Waislamu wabaguzi hivi umetumia vigezo vipi hapa? Au basi tu ndio zile chuki zisizo na tija?

Acha chuki za kitoto utaathirika mwenyewe.
Kama ni kweli Tanzania Bara kuna waislamu wanafika 58%, basi nchi itabakia na blabla zinazoendelea sasa na kabla. Wakati dunia inahangaikia sheria za mikataba ya kibiashara, sisi tunahangaika na sheria za kuadhibiana kwa imani za dini. Upuuzi mtupu!!/!/!//!!!
 
Kwani mimi nimepingana na wewe kuhusu hili!
Mi nakubaliana na wewe kabisa kuwa kuadhibiana kwa kufuata imani zetu kutatuathiri wenyewe na watoto wetu.
Lkn usisahau kuwa kila mwananchi hapa TZ ana uhuru wa kuabudu bila kuingiliwa na Mtu yyt au Chombo chochote cha serikali.

Cha kushangaza ni kuwa Waislamu Wanapotaka Kuanzisha mahakama yao inayowahusu wao tu WAKRISTO wakaamua Kuitisha mkutano KUIPINGA!

Sasa hapo Mshari na mwenye kuanzisha Fujo ni nani?
 
Tatizo sio mahakama ya kadhi, tatizo ni mahakama kutaka kuambatanishwa na taifa lisilo na dini! Kwa nini mahakama hiyo isiwe ndani ya uislamu na waislamu mpaka iwe ndani ya utanzania na watanzania?

Na kwanini hiyo mahakama itumie kodi zetu ambao sio wiislamu,warudishe na mahakama za kimila nao wapewe ruzuku.Hakuna mwenye shida na mahakama kadhi ile kodi zetu makafiri kutumiwa kuhudumia hiyo mahakama.
 
Nimeshauri hili mahala...

Mnaonaje Vitivo vya sheria katika vyuo vikuu ama vyuo vingine vinavyotoa mafunzo ya sheria ,viongeze mtaala mwingine wa sheria za kidini ambazo mwanafunzi atakuwa anasoma masuala ya sheria za kidini (dini zote) tu. Na huyo ndiye atakayehusika na masuala ya mashauri yanayohusu dini. Itungwe sheria ya kutambua uwepo wa sheria za kidini zote na serikali iajiri wataalamu wa masuala haya kutoka vyuo nilivyotaja hapo juu.

Hili litapunguza mgogoro huu wa masuala ya kidini....na sasa serikali itakuwa imejitenga na masuala ya kupendelea upande mmoja wa dini. Na wale watakao kataa mpango huu ninaimani watakuwa na ajenda yao ya siri ya kutaka kuilazimisha nchi hii iwe na mfumo unaofuata dini fulani. Hili hatutalikubali kamwe.
 
Mringa Dii,
Itapendeza kama utaweka na chanzo cha takwimu. Mimi nina takwimu tofauti na zako na chanzo chake...
 
Back
Top Bottom