Hii pointi nzuri; wengi wanakuja na wazo la kususa lakini hawana plan B ya nini kifanyike badala yake, hayo kwangu ni mawazo ya kitoto, ukiwasusia CCM bado maisha yataendelea tu, hawajali, na kama wakisusa kweli, bora na uchaguzi mkuu ujao wasishiriki kabisa, kwasababu wakishiriki matokeo yake watawasababishia wafuasi wao madhara kama haya yaliyowapata kwenye uchaguzi huu.Baada ya kususia nini kifuate. Kama kuna guarantee ya haki kutendeka sawa. Nahofia kama ya 2015.
Katika mazingira hayo ndio nikasema bora waingie tu.
Unafiki was CCM unaendelea tu. Roho za wazanzibari zinazidi kupotea.
Tutulie kufanya tathmini. Jazba haina maana.
Mimi naamini katika kupunguza madhara na kuyafanya mapambano yadumu.
Sasa hivi kuna dhoruba LA kisiasa, linahitaji majemedari hodari kuusoma mchezo.
Narudia tena jazba haifai lazima uwe na focus. Kususia kutapoteza hata network ya ndani.
Walau kushiriki kutapunguza madhara ambayo naamini CCM wameshayapanga.
Hiyo GNU yenyewe inaenda kufutwa.
Itoshe tu. Maalim na ACT wawatafute wazee na kamati zao wajadili kwa kina na kupanga mikakati ya kuishi na adui na isiinekane usaliti.
Zanzibar iko pabaya sana. Nahodha hodari anahitajika sio jazba.
Umeona vyema.Hii pointi nzuri; wengi wanakuja na wazo la kususa lakini hawana plan B ya nini kifanyike badala yake, hayo kwangu ni mawazo ya kitoto, ukiwasusia CCM bado maisha yataendelea tu, hawajali, na kama wakisusa kweli, bora na uchaguzi mkuu ujao wasishiriki kabisa, kwasababu wakishiriki matokeo yake watawasababishia wafuasi wao madhara kama haya yaliyowapata kwenye uchaguzi huu.
Bora waache kushiriki uchaguzi kabisa ili kulinda roho za wafuasi wao. Hili linatakiwa kufanyika hata huku Bara.
Nielekeze nami niendeKuanzisha uzi huku siku hizi naona miyeyusho tu, nimeziona mpak picha.
Safari hii sidhani kama maalim atakubaliVijana mnatakiwa sasa mjifunze,endapo Maalim akakubali alafu kuna watu wapo tayari kufa kwaajili ya mtu flani.una kufa na huyo mnaemfia anaungana na aliewauwa maisha yanaendelea.
"mpumbavu mkubwa wewe usikubali kufa kwaajili ya wanasiasa njaa"
Katika wahafidhina nawe umo.Vijana mnatakiwa sasa mjifunze,endapo Maalim akakubali alafu kuna watu wapo tayari kufa kwaajili ya mtu flani.una kufa na huyo mnaemfia anaungana na aliewauwa maisha yanaendelea.
"mpumbavu mkubwa wewe usikubali kufa kwaajili ya wanasiasa njaa"
Kwahiyo mmeuwa na kufanya kila unyama pemba ili mate Urais kwa mauaji halafu mtake maridhiano?Yakhe uachaguzi sio vita atiii. Tujenge Nchi yetu maisha yaendelee. Usikae na kinyongo haya mambo yashaisha, inaelekea wewe hujui siasa ndio maana wapata shida shida sana. Eti nawewe una mshauri Maalim, hivi kati yako na yeye nani anajua vema siasa?. Kauze urojo na juice ya Miwa ulipe ada za wanao ulamaa
Kwenye maisha kuna zaidi ya uma na kijiko.Akikataa then inakuwaje?
Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?
Waijenge nchi
Jinga kabisa hakuna asiejua jeur ya Maalim ni kwamba UMMA WA WAZANZIBAR upo pamoja na yeye siasa za ZANZIBAR wewe zisikie tuu ukiwa huko TandahimbaAkikataa then inakuwaje?
Unaongea mtu ambae silaha yake ni kijiko na uma tu?
Waijenge nchi
Umeandika point sana mkuu,ila kwamimi msimamo wangu ukopalepale.siwezi kufa kwaajili ya wanasiasa.Katika wahafidhina nawe umo.
Waliotenda makosa wanahitaji kuwajibishwa.
Katiba inahitaji GNU. Katika mazingira hayo lazima wahafidhina wawe na wasiwasi iwapo ACT itaingia serikalini.
Mambo mengine acha tusiseme hapa.
Fikiria yatakapokuja masindikizo ya kimataifa kama yapo na walioathiriwa wakiwa wamo serikalini itakuwaje?
Jee huko ndani hali itakuwaje?
Nasisitiza manahodha hodari tu ndio watanielewa.
akili yako nyepesi sanaKuna watu wamezaliwa na elements za ubishi na kupenda Shari kama mleta mada.
Wewe umebakiza muda gani kabla ya kufa?
Unamshauri mtu ambae hana zaidi ya miaka mitano inatakiwa awe amakufa kupisha wengine wazaliwe?
Yaani akikataa hii mitano hana kitu kingine anaweza kuifanyia Zanzibar kwa umri wake.
Mdanganye afe bila sifa yoyote.
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi, wamepanga matokeo, wameyatangaza waliyoyapanga, leo maridhiano ya nini, kubwa lipi lililowafanya watake maridhiano, ndugu wasomaji CCM wamsehinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kishindo , sasa haya anayoyadai CCM yanatokea wapi sababu yake nini ?
Maalim Seif kaa chonjo na mtego huu hawa wanataka kukugombanisha na umma uonekane wewe ulitakalo ni madaraka na ccm wanataka wakupe pipi ya umakamo kaambali na pipi hio hizo ni zile pipi za wataliana zilizozikigaiwa Nungwi, madhara yake sio leo leo.
Yaliyotokea Zanzibar hakuna asie yajua kuhusu yaliyofanywa hata CCM kuibuka na ushindi mnono Maalim kaa mbali na ushindi wao ukitia mguu sijui maridhiano maridhiano ulikuwa ufanyike uchaguzi huru, wameuharibu ili watafute maridhiano ya kuhalalisha haramu atakaewakubalia yupamoja nao. Kuna clip zinaenezwa zikimsafisha mshindi wa uchaguzi haramu huo kama tuuonavyo sisi na eti yale yaliofanywa kuupata ushindi yeye hahusiki na hakupendezewa nayo na atawawajibisha waliohusika na mauaji na utesaji, tunkwambia Maalim hilo ni lake akilifanya tutaliona na tutampongeza na asipolifanya bado litabakia kuwa ni lake.
Watu kwa mamia wameuliwa Zanzibar (Unguja na Pemba) leo hii eti maalim njoo tuzungumze yaishe.
Hizo mbinu za CCM hutumika kote ili kuwakatisha tamaa wapinzani, mfano kutowapa mawakala nakala za matokeo, ili kuwavuruga makusudi wasusie uchaguzi, na wapinzani wakilazimisha kushiriki, ndio CCM wanafanya mambo ya aibu kama waliyofanya mwaka huu.Umeona vyema.
Manahodha hodari hapa ndipo tutawajuwa.
Mazingira ya Zanzibar yanahitaji critical analysis juu ya uamuzi wowote ule.
Tokea mwanzo nakumbuka kuelekea uchaguzi was 2020, ACT walishabainisha kwamba hawatosusa. Technically CCM wamefanya vitimbi na mauaji ili ACT wasuse ili wamalize kazi mapema.
Wapinzani wajipange kwa kutumia uchochoro mwembamba wa Zanzibar wakiwa ndani na nje wapige mziki kama inawezekana.
Kwa yaliyotokea 2020 CCM ilitaka kuwahadaa jumuiya ya kimataifa na hawakuwa na namna kufanya hivyo ilibidi wauwe na kuhujumu ili ule utamu was kuwa peke yao kwenye Serikali na Baraza LA Wawakilishi waendelee.
Sasa wamelazimisha kwa gharama kubwa wakiamini wapinzani watasusa.
Naamini kuwe na hesabu Kali ya kusindikiza mambo na kujichawanya kwenye jumuiya za kimataifa na wawemo ndani ya SUK tuone labda kutakuwa na result gani kuliko kususia moja kwa moja bila ya guarantee yoyote.
twitter.Nielekeze nami niende
Unafikiri wewe unavyolipwa buku 7 na mwenzako yuko cheap??Seif achana na tapeli Mbowe wewe kubali kushirikiana na ccm ule mema ya nchi unafikiri Mbowe atakupa hela ya kulipa deni lako pale Serena hotel?