Chondechonde Lowassa, Hatujakufukuza, usihame chama

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.

Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.

TUPO PAMOJA LOWASSA
 
Kwa nini CCM ilimtosa kama yeye ni lulu?. Mtampa nafasi gani kama siyo RAIS?.
 
Haya ya kupeana nafasi za uongozi tena ni mapya. Wangemuacha achaguliwe na wananchi na kwa vile alikuwa na nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi angerudi akagombee hata udiwani ili awe karibu na wananchi. Poor him!
 
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.

Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.

TUPO PAMOJA LOWASSA

"akufukuzae hakuambii toka".
 
Too late sir/madam. Tunasubiri saa 10 ili kwa pamoja tuanze safari ya UHAKIKA.
Hakianani kwa jinsi mlivyotufanyia, mafisadi wa kweli tunaenda kudeal nao. Tutaanza na marais wastaafu wote yaani Mrisho, Ben na Ali
Escrow lazima izae na mtu
 
dah jamani CCm wamrudishe kama kuna uwezekaano maana dah chama letu linakufa daah lowasa plz usihame
 
Kama Lowassa ni LULU ndani ya CCM na CCM inamhitaji sana sasa kuliko wakati wowote, mpeni bendera ya Urais ya CCM aipeperusha, vinginevyo hayo maneno yako hayana maana yeyote.
 
Ukiniacha umeniogopa ukinipiga umeniogopa. Mkimkata mmemuonea mkimuacha mnamuogopa ndo siasa zetu hizi
 
Amina Salum alishinda mkachakachua CCM balaa
 
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.

Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.

TUPO PAMOJA LOWASSA

Saa kumi na moja Bahari Beach utapata majibu ya hayo
 
... Kwan Kawambia Kwamba Anahama,? Au Woga Wenu Wa Kutomtendea Haki Unawasuta
 
Lowassa achana nao hawana fadhila hao wacha Bendera yao ipeperushwe Na muuza Nyumba za serikali
 
Amina Salum alishinda mkachakachua CCM balaa

Hivi mkuu ili la AminA Salum kuchakachuliwa lina ukweli ndani yake....na lile la kuhusu wakala wake kjugua ghafla na kushindwa kuongea chochote nalo je....kuna maneno nayasikiasikia mtaani yananipa wasiwasi kuhusu huyo wakala kuwa kitengo ndo kilifanya mambo...
 
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.

Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.

TUPO PAMOJA LOWASSA
Kama mnajua mlikiuka kanuni za chama makusudi ili mmkwamishe sasa mmekula wa chuya. Mlikuwa mnapima kina cha bahari kuu kwa kutumia urefu wa ulimi wenu ngoja muipate freshi.
 
Back
Top Bottom