Binafsi sielewi umeandika nini!?
wait..., sioni point
Ungejalibu kufafanua iyo mada mkuu mana bado misamiati
Hata jina "Magufuli limekosewaAnamaanisha Mwananchi wamekosea (wameandika tanu badala ya tangu), so soon watafungiwa kwa hayo makosa na wakifungiwa ye atawamiss
Hata mie piaBinafsi sielewi umeandika nini!?
Mleta thread ni kada wa CCM haswa, CCM ni ya wajinga, wazee na maskini(TWAWEZA)Binafsi sielewi umeandika nini!?
Sasa mkuu huoni kama hata wazee wako nao wanakumbwa na hii dhana yako? Au wako ni wazee wa kisasa?Mleta thread ni kada wa CCM haswa, CCM ni ya wajinga, wazee na maskini(TWAWEZA)
Kuna wazee wachache wanaojitambua, hata Mtei ni mzee lakini hayuko CCM.Sasa mkuu huoni kama hata wazee wako nao wanakumbwa na hii dhana yako? Au wako ni wazee wa kisasa?
Rais MgufuliAisee,hata Mimi nitawamis,kama unavyoona hapa uzi wako ".eti " haueleweki na hao MCL naamini watashindwa kukuelewa. Labda mhariri wao naye Yuko hapa,hakuelewi![emoji16][emoji16]
Nimekuelewa sana tu,pamoja na kutokuwa na pesa itoshayo kununua gazeti,ingawa bei naijua.ndo maana nikatumia "eti"Rais Mgufuli
Tanu Badala ya Tangu
Kweli ni vigumu kunielewa kwa MTU asiejua bei ya gazeti kama wewe