chonde...choonde.. ULEVI.. noooma

chonde...choonde.. ULEVI.. noooma

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
246
hii ni live yani..! leo asubuhi nilikua kwenye kakazi fulani hivi asubuhi mitaa ya home kwetu tanga uswahilini hukooo sahare...! jamaa mmoja inavyoelekea jana yake alikua amelewa kinyama na washkaji wakampiga na kumchukulia hela zake alizo kua nazo kwenye wallet.. sasa alikua anamind kishenzi eti..! " kama wanaume kweli mbona hamnifanyi kitu nikiwa sijalewa..? yani mnasubiri nilewe ndio mnipige na nawaambia kweli hiyo simu na laki tatu zangu mtatoa..!" yani nilicheka kinyama na nikawa nina jiuliza hivi mtu akiwa bwax kweli hawezi akawa anajua anachofanyiwa..? coz wengi wanaokuaga bwax wanaibiwa ila wakichapwa viboko hua wanarudi kwenye hali yao normal..! hivi ni kweli mtu ukiwa bwax unakua hujui kitu..?
 
Nimejitaidi kucheka lakini imeshindikana labda wenzangu wakija watacheka
 
Back
Top Bottom