Chonde chonde viongozi wa Dini zote

Chonde chonde viongozi wa Dini zote

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Tarehe 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Hofu yangu ni mambo yanayoweza kujitokeza siku hiyo kuanzia saa1 jioni giza likiishaingia. Huenda kukawa na vurugu kubwa katika vituo vya kupigia kura maana kutakuwa na kunyang'anyana kura, kubadilisha matokeo, kubadilisha mabox ya kura, kutokukubali kusign matokeo, kukataa kutoa nakala za matokeo kwa mawakala wa vyama ikiwa Ni pamoja na kutangaza matokeo ndivyo sivyo.

Nachukua nafasi hii kuwaomba sana viongozi wote wa madhehebu yote ya Dini na wale wanaoamini nguvu za kimila muandaeza ibada za kuliombea Taifa siku hiyo ipite kwa amani maana hapo ndipo mtihani wa amani ya nchi hii ulipo. Huenda hata siku 2 baadae.

Najua mchana uovu utafichwa kwa kiasi kikubwa, Labda tu u naweza usione jina lako katika daftari la waipiga kura. Kama hauko katk data bank ya taasisi fulani, ukikuta hivo, ondoka tu maana hutaweza kupiga kura!
 
Jambo jema ,wazingatie maoni yako ,ni mazuri kwa afya ya taifa letu
 
Kwa lipi hasa ?
Kwanza hata waliofikiri CDM imedhoofika nikiwepo mimi, mawazo yangu sasa nayakataa kabisa, CDM ya sasa tena ndio ina nguvu zaidi. Huwezi amini yaliyotokea wakati vyombo vyote vya habari vimezuiliwa kutangaza. Hata baada ya vitisho vya polisi watu wamejitokeza kwa wingi mimi nilifikiri wangekuwepo viongo wakuu wa CDM peke yake lakini....umati wa ajabu!...Kweli CDM mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom