Chonde chonde Simba

Chonde chonde Simba

BBA

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
319
Reaction score
75
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo kumrudisha mwacheni huko huko aliko.
 
shinikizo la Phiri kwamba ni zaidi ya mchezaji awapo langonikuna wanafiki tu simba hawamtakii mema kaseja lkn ameonsha mapenzi ya dhati na timu....mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani
 
Simba mna weweseka kama mama mwenye kifafa cha mimba...
 
Baada ya ile gemu yetu na "kandambili", Kaseja alienda kumpongeza Manyika kwa kazi nzuri aliyoifanya. Nilipenda sana hilo tukio, mana Kaseja alionesha "true colour" yake.
 
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo kumrudisha mwacheni huko huko aliko.

Kaseja lazima atarudishwa Simba kwa sababu hawa Friends of Simba wanataka kurudisha fadhila kwake. Kila uongozi wa Simba ulipotofautiana na hao Friends Kaseja alitumiwa na hao Friends kuihujumu timu. Kumbukumbu zinaonyesha huyu Kaseja alifungiwa na uongozi wa Wambura na kisha tena na uongozi wa Dalali pale mwanzoni wakati hakuwa anaelewana na hao friends. Sasa Friends wameshika hatamu Simba lazima warudishe fadhila. Huko Yanga Kaseja hana namba iweje Simba wanamtamani? Mwaka jana Simba walimwacha kwa kushuka kiwango na hakuna timu iliyomuhitaji leo eti ana thamani?? Akija Simba sasa hivi hataihujumu timu kwa sababu waliokuwa wakimshawishi ndio watakuwa na timu, lakini kiwango chake ni duni!!! Na ujuelengo la friends ni kuhakikisha akirudi Simba anakuwa kipa wa kwanza aweze kudaka ligi kuu ambayo hadi sasa hajapata hata dakika moja. Je nini hatima ya dogo Manyika na Cassilas? Ni wazi kuwa Manyika atachukuliwa na Yanga na hapo ndio wapenda soka wajiulize nani kalamba dume, Simba kumchukua Kaseja au Yanga kumbeba dogo Cassilas!
 
Baada ya ile gemu yetu na "kandambili", Kaseja alienda kumpongeza Manyika kwa kazi nzuri aliyoifanya. Nilipenda sana hilo tukio, mana Kaseja alionesha "true colour" yake.
Kumpongeza opponent wako mchezoni ni kosa?

Ndo maana Afcon tutaisikia kwenye bombs tu
 
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo kumrudisha mwacheni huko huko aliko.
Join Date : 27th May 2012
Posts : 166
Rep Power : 459
Likes Received31
Likes Given0​
 
shinikizo la Phiri kwamba ni zaidi ya mchezaji awapo langonikuna wanafiki tu simba hawamtakii mema kaseja lkn ameonsha mapenzi ya dhati na timu....mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani

Mwenda tezi na Omo marejeo Foma Gold.
 
Aende tu maana hata huku jagwani tumemchoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom