johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Utumbo wa nguruwe umeandikwa na LumumbaNimeambiwa hapa kuwa kuna kundi kubwa la madiwani hasa mikoa ya kaskazini na baadhi ya wabunge wanapanga kuachana na Chadema na kuitikia kauli ya mzee Lowassa iliyowataka wafuasi wake kumuunga mkono Rais Magufuli.
Najua hili ni jambo jema na la kupendeza kwa CCM lakini kila nikifikiria gharama za chaguzi ndogo kiukweli naihurumia nchi yangu Tanzania.
Hivyo nakuomba sana mzee Lowassa washauri wote wenye mahaba nawe waliochaguliwa kama wabunge na madiwani wasubiri 2020 ndio warejeshe kadi za Chadema ili kutuondolea gharama za chaguzi ndogo.
Nakumbuka Zitto aliwahi kutumia busara hiyo akatuepusha na uchaguzi mdogo.
Maendeleo hayana vyama!
Zitto anawapa tabu sana wana Lumumba!! Wanatamani wamteke sema ndio hivyo wanaogopa UKOO Mzima utateketea.Nimeambiwa hapa kuwa kuna kundi kubwa la madiwani hasa mikoa ya kaskazini na baadhi ya wabunge wanapanga kuachana na Chadema na kuitikia kauli ya mzee Lowassa iliyowataka wafuasi wake kumuunga mkono Rais Magufuli.
Najua hili ni jambo jema na la kupendeza kwa CCM lakini kila nikifikiria gharama za chaguzi ndogo kiukweli naihurumia nchi yangu Tanzania.
Hivyo nakuomba sana mzee Lowassa washauri wote wenye mahaba nawe waliochaguliwa kama wabunge na madiwani wasubiri 2020 ndio warejeshe kadi za Chadema ili kutuondolea gharama za chaguzi ndogo.
Nakumbuka Zitto aliwahi kutumia busara hiyo akatuepusha na uchaguzi mdogo.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa........kufikia 2020 tutasikia mengi kutokea pande za Ufipa.Utumbo wa nguruwe umeandikwa na Lumumba
Kama ni hivyo sawa!kwa sheria za uchaguzi zilivyo kama hazijachakachuliwa inabidi mtu asubirie uchaguzi ujao kama atahama chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaguzi ndogo zipi?Sheria za uchaguzi Tanzania unazifahami?Hahahaa........kufikia 2020 tutasikia mengi kutokea pande za Ufipa.
Nassari na madiwani wote kule Arumeru wanapanga kujiunga CCM!
Nifahamishe!Chaguzi ndogo zipi?Sheria za uchaguzi Tanzania unazifahami?
Waende tu hata uchaguzi ufanyike watanzania wako tayari kulipa kodiNimeambiwa hapa kuwa kuna kundi kubwa la madiwani hasa mikoa ya kaskazini na baadhi ya wabunge wanapanga kuachana na Chadema na kuitikia kauli ya mzee Lowassa iliyowataka wafuasi wake kumuunga mkono Rais Magufuli.
Najua hili ni jambo jema na la kupendeza kwa CCM lakini kila nikifikiria gharama za chaguzi ndogo kiukweli naihurumia nchi yangu Tanzania.
Hivyo nakuomba sana mzee Lowassa washauri wote wenye mahaba nawe waliochaguliwa kama wabunge na madiwani wasubiri 2020 ndio warejeshe kadi za Chadema ili kutuondolea gharama za chaguzi ndogo.
Nakumbuka Zitto aliwahi kutumia busara hiyo akatuepusha na uchaguzi mdogo.
Maendeleo hayana vyama!
Pumbavu wewe, hakuna uchaguzi wa jimbo mpaka 2020 hata mbunge akijiuzuru leoNifahamishe!
Hahahaa....... Kumbe bwashee!Pumbavu wewe, hakuna uchaguzi wa jimbo mpaka 2020 hata mbunge akijiuzuru leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia lugha yenye staha tafadhali!Siasa zinabadilika kilichomtoa Lowasa chadema sio kwa kupenda kwake bali ni upepo unaovuma kutoka Belgium. Mwambie aliyekuja nao wote wamemuona km msukuma alivyosema anajinyea atajinyea km alivyojinyea MADABA- Ruvuma
Hahahaaa sio maneno yangu ni maneno ya Msukuma 2015 na uliyaunga mkono hapa nakumbukaa.Tumia lugha yenye staha tafadhali!
kwa sheria za uchaguzi zilivyo kama hazijachakachuliwa inabidi mtu asubirie uchaguzi ujao kama atahama chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa........kufikia 2020 tutasikia mengi kutokea pande za Ufipa.
Nassari na madiwani wote kule Arumeru wanapanga kujiunga CCM!
Azifahamu wapi huyo mpayukaji tu wa chakubangaChaguzi ndogo zipi?Sheria za uchaguzi Tanzania unazifahami?
Nifahamishe!
Membe hoyeeeeeeeeeeeeeeeeSababu ya Lowassa kurudi ccm sio kwa kumuunga mkono Magufuli, bali kuzikinga Mali zake pia kuna fununu timu ya Lowassa na kikwete wanampango wa kumgowa bwana misifa 2020.
Ndukiiiii