Nimekusikia..naahidi kuendelea kufanya hivyo mngese ww!
Baada ya mchakato wa kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM kukamilika, Mh. Lowassa naomba nikusihi uendelee kusaidia jamii za watu mbali mbali kama ulivyokuwa ukifanya katika kipindi cha miaka mitatu iliopita. Uendelee kushiriki harambee za kuchangia ujenzi wa makanisa na misikiti, shule, uendelee kuwawezesha bodaboda na jamii nyingine mbali mbali. Bado tunauthamini na kuuhitaji mchango wako hata kama lengo la kuingia magogoni halikutimia. Hiyo yote ni mipango ya Mungu.
Nimekusikia..naahidi kuendelea kufanya hivyo mngese ww!
Tapeli hili la Kimasai kuna siku lilikuwa pale Leaders likaahidi Container nne za boda boda, Serikali ikastukia mchezo wake wa kujiandaa kwa vurugu wiki iliyofata pikipiki zote zikapigwa stop kuja mjini, Ahadi ikapotea